joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkunya akiwa uarabuni kutafuta "Remittances
| Sababu | Dar es Salaam | Nairobi |
|---|---|---|
| Idadi ya watu | Zaidi ya milioni 6 | Zaidi ya milioni 4 |
| Usalama | Kuna changamoto, lakini jiji limeimarisha usalama | Matukio ya uhalifu ni mengi sana |
| Mawasiliano | Kuna mitandao ya simu bora na gharama za mawasiliano ni nafuu | Gharama za mawasiliano ni ghali sana |
| Usafiri | Kuna mabasi yaendayo haraka (BRT) na usafiri wa umma ni wa uhakika zaidi | Usafiri wa umma ni wa changamoto |
| Biashara | Kuna bandari kubwa na shughuli za biashara ni nyingi | Biashara ni ndogo |
| Utalii | Kuna fukwe nzuri, vivutio vya kihistoria na utalii wa ndani ni mzuri | Utalii mdogo sana na vivutio vya kihistoria ni vichache sana |
Hata mimi huwa nawashangaa Wakenya wenzako kila kukicha hutumia picha za Kenya kwenye mambo ya Tanzania.Naona mnazidi kutumia picha za Kenya.🤣
English sio lugha yako wewe hujui chochote.Buses can't be stupid, rudi shule.
KenyansHata mimi huwa nawashangaa Wakenya wenzako kila kukicha hutumia picha za Kenya kwenye mambo ya Tanzania.
Who the f**k owns the newspaper?
Waganda wameona fursa baada ya ujenzi wa SGR kutokea Dar to Mwanza kwasababu mizigo yao itakuwa inafika mapema inaingia kwenye meli siku hiyo hiyo na kusafirishwa hadi Port Bell Uganda.
Kutokea Dar treni itatumia masaa manane 8hrs kufika Mwanza. Kwahiyo utaona hapo wanakuwa wameokoa muda wa mizigo yao kukaa barabarani ikisafirishwa ikiwa kama wangetumia malori.
Kwenye biashara au kazi ukishaweza kuokoa muda ambao ulikuwa unapoteza bure unakuwa umeweza kukwepa hasara au unaongeza faida kwa kuutumia huo huo muda kufanya hiyo kazi au kazi nyingine zaidi ya hiyo.
Kwahiyo reli haitaleta hasara bali faida kwa uchumi wa nchi na kwa Watanzania kwa ujumla.
Zimejengwa muda tu boss, baadhi bado wanaenda Nairobi, na ni sababu za kibiashara, wengine wana mikataba na airlines hasa KQ na zinawapa VERY LOW FREIGHT RATE. Unajua tofauti ya $0.50 kwenye mizigo ni kubwa sana, na ndio maana Serikali inafanya juu chini tuwe na Freighter hapa tu-cut the bull shit.Kama zipo vimejengwa miaka isiyozidi 2 nyuma,pale KIA Kwa nini wanakimbilia Nairobi?
May be kampuni kubwa ziko kwao ndio maana uhakika wa ndege za mizigo ni Kenya..
Mwisho naomba swali la hili jibu,Kwa nini Madini ya Tanzanite yanatoroshwa Kenya? Kwa nini wafanyabiashara hawataki kuuzia Tanzania?
Moja ya Rais Zombie kuwahi kuwa nae Tanzania. Sidhani kama 2025 tutarudi na huyu serial failure. Dizain wanamjaza ujinga wamkamue 2025.
She does not have the necessarily mental capacity for intellectual independence, so she relies heavily on advice and this is a big mistake for a leader.
Magufuli used to say this, "No one tells me what to do" because he was a leader.
Express yao au express ya mchina na imeajiri wachina 🤣🤣🤣 na pesa zinakwenda kwa wachina vile vileNyang'au wamefungwa midomo wamebaki tu kuringia ile expressway yao.😂😂😂
Neno BRT siku hzi limekua gumu sana 🤣🤣Inside of a bus on Nairobi streets.
View attachment 2534213
🤣🤣🤣🤣 GDP inajikojolea
Rutto inaonekana atakua rais wa hovyo sana
Naponda Sgr,hii ya Uganda itapitia Tanga portSio ww uliekuwa unaponda miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali kua haina afya kwa uchumi wa nchi imekuaje tena Fallacy