Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji106][emoji106]
Waganda wameona fursa baada ya ujenzi wa SGR kutokea Dar to Mwanza kwasababu mizigo yao itakuwa inafika mapema inaingia kwenye meli siku hiyo hiyo na kusafirishwa hadi Port Bell Uganda.

Kutokea Dar treni itatumia masaa manane 8hrs kufika Mwanza. Kwahiyo utaona hapo wanakuwa wameokoa muda wa mizigo yao kukaa barabarani ikisafirishwa ikiwa kama wangetumia malori.

Kwenye biashara au kazi ukishaweza kuokoa muda ambao ulikuwa unapoteza bure unakuwa umeweza kukwepa hasara au unaongeza faida kwa kuutumia huo huo muda kufanya hiyo kazi au kazi nyingine zaidi ya hiyo.

Kwahiyo reli haitaleta hasara bali faida kwa uchumi wa nchi na kwa Watanzania kwa ujumla.
 
Sasa ukikosa msosi duniani umekuja kufanya nini?

Mtu asiyekuwa na uhakika wa kula ni fukara.

Asilimia 48% Kenyans watakabiriwa na njaa kati ya mwezi March to June, hivyo wanahitaji msaada wa chakula.

Chanzo cha hii taarifa ni Azam
TV.

Sasa kama wana uchumi mkubwa na wako connected na visimbuzi kuliko Tanzania inawasaidiaje hapa?

Watu watakufa njaa huku wanatizama luninga [emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848]
These guys need to get their priorities right.
 
Waganda wameona fursa baada ya ujenzi wa SGR kutokea Dar to Mwanza kwasababu mizigo yao itakuwa inafika mapema inaingia kwenye meli siku hiyo hiyo na kusafirishwa hadi Port Bell Uganda.

Kutokea Dar treni itatumia masaa manane 8hrs kufika Mwanza. Kwahiyo utaona hapo wanakuwa wameokoa muda wa mizigo yao kukaa barabarani ikisafirishwa ikiwa kama wangetumia malori.

Kwenye biashara au kazi ukishaweza kuokoa muda ambao ulikuwa unapoteza bure unakuwa umeweza kukwepa hasara au unaongeza faida kwa kuutumia huo huo muda kufanya hiyo kazi au kazi nyingine zaidi ya hiyo.

Kwahiyo reli haitaleta hasara bali faida kwa uchumi wa nchi na kwa Watanzania kwa ujumla.
Hii reli itatumiwa na mataifa yote ya EA, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo and Sudan wote watatumia hii reli.
 
😆😆😆😆

Ukweli mchungu hiki kinachotokea Kenya ndio kitaenda kutokea pale ubungo east Africa logistics park

images (17).jpeg
 
Kule gesi huku pipeline, LNG ina-beep, yajayo yanafurahisha!

MY TAKE
Simuelewi mama kumuondoa dr Mataragio na kumuweka Mzanzibari TPDC, kunani?
Kama wapumbavu kwa wapumbavu amuelewani hiyo sasa ni shida
 
Ile time ya kuuana imefika sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliwaambia ...kama ruto hata vurunda basi wajue hatari ipo palepale pia niliwaambia kuwa magu ndiyo anasababisha serikali ya kenya na zingine zijitahidi kimaendeleo leo magu hayupo brt ya kenya imekufa kibudu ila kama jpm angekuwepo tz ninajua wakenya wange fanya juu chini mpaka leo hii brt yao ingefanya kazi hata kwa kuunga unga
 
Ila ofisi zikiwekwa kwenu mnashangilia.
Wao ndio huchagua kuweka hizo offices Kenya hua hatuwalazimishi kama nyinyi, mko desperate sana. Don't forget most of the offices in Kenya are regional offices, serving the whole continent or regions.
 
Dunia sahii iko digital, watu wanawork remotely bado mnataka mtu aweke offisi kwa ground. 🤣 🤣 🤣 🤣 Wabongo wacheni ushamba.
So ww ndio unatupangia nn chakufanya au kwa vile nyinyi na wazungu mulizaliwa tumbo moja 🤣🤣🤣🤣 na mbona suala la data collection hujaligusia sasa
 
Wao ndio huchagua kuweka hizo offices Kenya hua hatuwalazimishi kama nyinyi, mko desperate sana. Don't forget most of the offices in Kenya are regional offices, serving the whole continent or regions.
Pamoja na kuweka ofisi zao cha ajabu tunaambiwa ndio muna unemployment rate kubwa africa nzima sasa kitu hua najiuliza wanaajiri watu kutoka kwao na sio wakenya??🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom