ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,308
- 88,340
Hizi ndio habari hupenda kuzisikia
Hizi ndio habari hupenda kuzisikia
Data inasema otherwise[emoji38][emoji38][emoji38] ndivo ulidanganywa hvo
Ushindani wa maziwa tanzania hamuuwezi tena labda dunia ipinduke tena
Uti ni sister yako alinipea bana weka evidence wacha umbea hapa idiot[emoji1787][emoji1787]Ww kapime mkojo [emoji38][emoji38] huenda una UTI sugu
Hawajamaa wanapenda Sana kufa, huko bandits wanaua wanajeshi, huku Alshabaab, huku wakora hapo Nairobi, wameona idadi ya wanaokufa haitoshi wameamua kuingia barabarani[emoji23][emoji23][emoji23]Ile time ya kuuana imefika sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya's life expectancy is 67 yearsTunavyoendelea kupeleka huduma bora za afya vijijini ,na kuboresha upatikanaji wa lishe bora tunategemea watu wafikemiaka 70 na kuendeleaView attachment 2532699
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kamwe Kenya haitowahi kuifikia life expectancy ya Tz, never ever.Kenya's life expectancy is 67 years
Kenya Life Expectancy 1950-2023
Chart and table of Kenya life expectancy from 1950 to 2023. United Nations projections are also included through the year 2100.www.macrotrends.net
Eti wanasema wana chakula kingi kutuzidi wakati watoto wao 970000 wanakabiliwa na utapiamlo unaotokana na ukosefu wa chakula na si lishe bora. Yaani hawana chakula kabisaa.Kenyans: Our GDP is greater than Ugandan and Tanzanian combined
Reality: [emoji116]
Cha ajabu hizo hela walizopewa zote zitaenda Tanzania na Uganda kununua unga, mahindi, mchele, vitunguu etc. GDP uchwara
Hii itakuwa ya nyuma kidogo kabla hatujaboresha huduma za Afya vijijini, sasa hivi tunaweka kuwa tuko kileleni.Watu mnalala njaa na kufa njaa, mnauana kama kuku alafu mfikie life span ya Tanzania "The paradise of the World" never.View attachment 2532786
Hata mimi ninaamini hivyo kaka. Tanzania imebadilika katika sekta zote kwasasa hivi.Kwanza hakuna nchi hapa EA inafikia life span ya watanzania, narudia hakuna, the real life span ya watanzania ni 71yrs.
Na njaa hii? Ona hata soo babuu!Kenya's life expectancy is 67 years
Kenya Life Expectancy 1950-2023
Chart and table of Kenya life expectancy from 1950 to 2023. United Nations projections are also included through the year 2100.www.macrotrends.net
Enda uskie vibaya na huko.Na njaa hii? Ona hata soo babuu!