Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe taja University kumi hapa Africa ambazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee? Wewe fala Hospitality is a very big industry, hio akili yako ndogo isikudanganye utalii ni about wildlife and beaches pekee yake.
Unakataa nilichokuambia au unabisha?

A large percentage of Kenyans are stupid
 
Sio kweli, JNIA, KIA, Mwanza kote kuna cold storage facilities ndio maana nyama, maua, mbogamboga, matunda na samaki zinaweza kutokea hapa bila tatizo. Please get informed.
Kama zipo vimejengwa miaka isiyozidi 2 nyuma,pale KIA Kwa nini wanakimbilia Nairobi?

May be kampuni kubwa ziko kwao ndio maana uhakika wa ndege za mizigo ni Kenya..

Mwisho naomba swali la hili jibu,Kwa nini Madini ya Tanzanite yanatoroshwa Kenya? Kwa nini wafanyabiashara hawataki kuuzia Tanzania?
 
Ndio sababu nimekushamgaa Sana kuwataja viongozi wa Kenya kwamba ni watu wenye kupenda ushirikiano wa biashara.

Katika nchi ambayo haipendi kabisa ushirika wa biashara katika ukanda huu, Kenya inaongoza. Kenya itashirikiana na nchi yoyote ya jirani pale itakapoona kwamba yenyewe itafaidika zaidi kuliko, au Kama hawana jinsi ya kufanya.

Kenya inalazimika kujipendekeza kufanya biashara na Tanzania kwa sababu uchumi wa Kenya unaitegemea Sana Tanzania, bila Tanzania uchumi wao utavurugika wote
1)Mali ghafi zitokanazo na kilimo Kama vile pamba, katani, miti na Alizeti, Kenya inategemea Tanzania by 70%
2)Vyakula vya binadamu na wanyama, matunda na viungo, Kenya hutegemea Tanzania by 40%
3)Gas za kupikia, na muda sio mrefu tunawapelekea Bomba la gesi.
4)Kenya hutegemea kutumia ardhi ya Tanzania kupitisha bidhaa zao kwenda masoko ya nchi za SADC
5)Tanzania is the biggest Business partner in Afrika. Kenya is not the biggest Business partner to Tanzania

Mambo haya yanaifanya Kenya kuigopa Tanzania, ndio sababu wanashindwa kutuchezea Kama wanavyowachezea waganda, lakini kamwe usiwasifie viongozi wa Kenya kwamba wanapenda ushirikiano wa kibiashara.

Mkuu wakenya sio watu wazuri katika kufanya nao biashara. Hivi hujiulizi kwanini Bakhresa akimbilie kuwekeza katika nchi zote zinazotuzunguka, Hadi ameenda kuwekeza South Afrika lakini asiende Kenya wakati Kenya ndio nchi yenye uhitaji mkubwa wa Vyakula?
Huwa siachi neno kwenye comment zako.
 
Kama zipo vimejengwa miaka isiyozidi 2 nyuma,pale KIA Kwa nini wanakimbilia Nairobi?

May be kampuni kubwa ziko kwao ndio maana uhakika wa ndege za mizigo ni Kenya..

Mwisho naomba swali la hili jibu,Kwa nini Madini ya Tanzanite yanatoroshwa Kenya? Kwa nini wafanyabiashara hawataki kuuzia Tanzania?
2016 inakuwa upgraded. Maana yake ni miaka 7 iliyopita.

1677315380184.png
 
Unakataa nilichokuambia au unabisha?

A large percentage of Kenyans are stupid
Nimekuambia Tourism sio beach na wildllife pekee, Tanzania is not even among the top 5 countries in Africa by number of international tourists.

Nimekuambia unitajie University kumi in Africa amabazo zina specialize kwa kutoa mafunzo ya Tourism and Hospitality pekee?

bf-k9kpTURBXy81ZGQ0ZTMxMjNjNDA3ZGY0ZmUzYzM4ZmFjNzNhNTgyYi5wbmeSlQMAAM0DMM0BdJUCzQMWzQFpwsPeAAGhMAU
 
Sasa unaniletea Taarifa kutoka kweny blog.
Nimekuuliza swali Taja nchi 10 za kitalii hapa Africa. Mbona unahaha tu.

1677315729973.png
 
Value for your money Avocado farming is taking a huge boost in Tanzania 1 tree produces a minimum of 300kg’s under good supervision… An acre of 7mx7m takes up to 100 trees 300kgx100 = 30,000kg’s 1 kg is sold at an average of 1300/= 30,000kg’s x 1,300/ = 39M

FpoYek7WAAI8jrp

FpoYek8XEAAQdMW

FpoYek8XoAAvhf7
 
Back
Top Bottom