Mama kaenda Arusha, kuna ishu gan?
Nimesikia kuwa ni kikao elekezi na Mawaziri.Mama kaenda Arusha, kuna ishu gan?
Nyang'au wamefungwa midomo wamebaki tu kuringia ile expressway yao.😂😂😂Walikua wakenya wakiongozwa na yule mlevi wao 🤣🤣🤣 mpaka akafunga safar ufaransa kwenda kuzui pipeline isijengwe na kutuma vibaraka waandame huko ufaransa
[emoji2955][emoji2955][emoji52][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji3]
Safi sana [emoji120][emoji120][emoji120]Zabuni zimetangazwa
That's great!!Mradi uko kwe manunuzi
Wameshaanza kuja nchini kutibiwa. Kwahiyo tukiboresha zaidi tutahamisha wananchi wote nchi jirani kuja kwetu [emoji846]
Ongezea cholera outbreaks, insecurity and joblessGlobal city with slums, dirty and stupid commuter buses [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkúu ninakupa miezi 6 tu, utashangaa Sana, kati ya watu wa hovyo ni huyu jamaa, ataanza kumtukana huyo mama majukwaani hadi utajiuliza Kama ndiye huyu huyu ambaye Leo anamsifia.Mambo inabadikika Kwa Kasi sana,sikiliza video ya Lema hapa [emoji116]
Mda utasemaMkúu ninakupa miezi 6 tu, utashangaa Sana, kati ya watu wa hovyo ni huyu jamaa, ataanza kumtukana huyo mama majukwaani hadi utajiuliza Kama ndiye huyu huyu ambaye Leo anamsifia.