Wanataka Dar ifanane na Nairobi.🤣🤣Dunia sahii iko digital, watu wanawork remotely bado mnataka mtu aweke offisi kwa ground. 🤣 🤣 🤣 🤣 Wabongo wacheni ushamba.
Hakuna kitu kama iga iga, Nairobi is a global city with one of the biggest retail market in Africa.At least umekubali kuwa nyie ni igaiga wakubwa hapa Africa hata ushoga mnaupitisha kisa ni western style na kwa mentality yenu mnaona kama ni development.
Hiyo ndio capacity Sasa huo mzigo usipokuja itakuaje?Bandari ya Tanga inaenda kuanza kuhudumia shehena ya mzigo Tani 3M baada ya maboresho,mradi utakabidhiwa mwezi April 2023,kutoka kuhudumia Tani 750K kwa mwaka
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kazi ya kwanza ni kujenga miundombinu ya kubudumia shehena kubwa,Kuongeza ufanisi Nk, hayo yalishakua sawa walaji ndio wataamuaHiyo ndio capacity Sasa huo mzigo usipokuja itakuaje?