Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kila siku haya matukio lazima yatokee
  • wananchi kulilia njaa
  • nchi kupokea msaada wa chakula au fedha kwa ajili ya chakula
  • matukio ya maandano kutokana na ugumu wa maisha
  • maandano ya kutolipwa mshahara
  • taasisi za umma kulalamika kukosa fedha za kujiendesha
  • ukosefu wa maji, umeme etc
  • matukio ya uuaji, either majangili au wananchi kuuawa (ukosefu wa usalama)
  • matukio ya uporaji kupitia majambazi au wezi (ukosefu wa usalama), hapa inaashiria wananchi hawana shughuli halali za kutafuta pesa
  • uchafu kila kona ya nchi, jiji na mtaa
  • bado sijazungumzia huduma mbovu za umma, mfano usafiri, mabus mabovumabovu
Sasa hii GDP kubwa inawasaidia nn ndugu zangu, hamuoni hii GDP ni fake? Kuwa kubwa haiwasaidii kitu. Hamuoni tumewazidi maendeleo sehem nyingi kwa hii GPD ndogo, japo inafanya makubwa
 
yeah but how efficient is the system?? in advantages gani kama inajazwa with no limits?? heri basi za nairobi where its a crime to stand in a matatu than hizo zenyu watu wanabebwa kama gunia za viazi
Bro ukubali ukatae BRT sio sawa na kula githeri na ukubali pia BRT iliwashinda kwan ukikubali unakufa au🤣🤣🤣 mukaja speed kupoteza pesa kupaka rangi thika mukajua mumemaliza na usishangae hata mulipoteza na usishangae mulipoteza hata over 100m ksh na ufisadi humo humo
 
Umesahau magorofa kuanguka kila leo🤣🤣
 
maendeleo yapi? na ukisema transport system, which transport system do you have better when the busses even the number of people boarding are not regulated??? your brt is just good on the outside but a very mismanaged system an now now you named the bad start naming the good we compare
 
Bro ukubali ukatae BRT sio sawa na kula githeri na ukubali pia BRT iliwashinda kwan ukikubali unakufa au🤣🤣🤣 mukaja speed kupoteza pesa kupaka rangi thika mukajua mumemaliza na usishangae hata mulipoteza na usishangae mulipoteza hata over 100m ksh na ufisadi humo humo
your brt is a sham its 100 times better to board a matatu in nairobi that your crowded brt. watu hadi wanasimama ndani nkt! very medioca
 
Kenya kila siku haya matukio lazima yatokee
  • wananchi kulilia njaa
  • nchi kupokea msaada wa chakula au fedha kwa ajili ya chakula
  • matukio ya maandano kutokana na ugumu wa maisha
  • maandano ya kutolipwa mshahara
  • taasisi za umma kulalamika kukosa fedha za kujiendesha
  • ukosefu wa maji, umeme etc
  • matukio ya uuaji, either majangili au wananchi kuuawa (ukosefu wa usalama)
  • matukio ya uporaji kupitia majambazi au wezi (ukosefu wa usalama), hapa inaashiria wananchi hawana shughuli halali za kutafuta pesa
  • uchafu kila kona ya nchi, jiji na mtaa
  • bado sijazungumzia huduma mbovu za umma, mfano usafiri, mabus mabovumabovu
Sasa hii GDP kubwa inawasaidia nn ndugu zangu, hamuoni hii GDP ni fake? Kuwa kubwa haiwasaidii kitu. Hamuoni tumewazidi maendeleo sehem nyingi kwa hii GPD ndogo, japo inafanya makubwa
Mm mtu akinitajia Kenya huwa akili yangu inatafsiri Afghanistan yn naogopa sana kwenda Kenya naiona ni nchi hatari sana kuishi.
 
Kenya's inflation climbs to 9.2pc as some food prices soar​

WEDNESDAY MARCH 01 2023​

A group of Kenyans protest outside Parliament

A group of Kenyans protest outside Parliament on February 21, 2023 over the high cost of living. Increasing food prices in Kenya have continued to put households under pressure as inflation rises. PHOTO | LUCY WANJIRU | NMG

Summary

  • KNBS CPI showed that in February, food commodities contributed significantly to the high inflation.
  • The 9.2 percent inflation rate becomes the third highest rate recorded in Kenya since 2022
  • It rose beyond CBK’s guided upper limit of 7.5 per cent mid-2022.

General Image

By PETER MBURU
More by this Author

Increasing food prices in Kenya have continued to put households under pressure and raise the cost of living, with new data indicating that inflation climbed to 9.2 per cent in February, as some food costs went up to 11 percent more than they did in January.

This is a reverse trend. It is coming after inflation slowed for three consecutive months to hit 9 per cent in January, after accelerating through 2022, seeing households struggle with a high cost of living.

On Tuesday, the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) Consumer Price Index (CPI) showed that in February, food commodities contributed greatly to the high inflation, reflecting the pain Kenyans are enduring.

Highest rates​

The KNBS CPI showed cabbages, carrots and sukuma wiki (kales) were among food items whose prices rose by highest rates.

The three commodities’ prices rose by over 11 per cent within just a month.

“Tomato prices also increased by 7.8 percent compared to January while the prices of fresh unpacked milk increased by 2 per cent,” KNBS stated.

Households also felt pain refilling their cooking gas, whose price increased by 4.7 percent in February compared to January, even as electricity prices fell by between 2.9 and 3.7 percent on different user bands.

The KNBS also reported that wheat and maize flour prices fell by 2.4 percent and 2.5 percent respectively during the month of February, as the price of sugar came down by 3.2 percent.

Third highest rate​

The 9.2 percent inflation rate becomes the third highest rate recorded since last year, when Kenyans started feeling the heat of high commodity prices; and is a return to the red zone.

The inflation had eased from 9.1 percent in December 2022 to 9 percent in January 2023, after highs of 9.5 per cent in November and 9.6 per cent in October- the highest rate in more than five years.

The inflation rate rose beyond Central Bank of Kenya’s guided upper limit of 7.5 percent mid-2022 and has remained up, triggering the bank’s move to raise lending rates as a control measure.

We don't care, our husband is there to feed us
 
yeah but how efficient is the system?? in advantages gani kama inajazwa with no limits?? heri basi za nairobi where its a crime to stand in a matatu than hizo zenyu watu wanabebwa kama gunia za viazi
Unajua maana ya mass transit kweli wewe au unaongea tuu kwasababu una mdomo?
 
Bro ukubali ukatae BRT sio sawa na kula githeri na ukubali pia BRT iliwashinda kwan ukikubali unakufa au[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mukaja speed kupoteza pesa kupaka rangi thika mukajua mumemaliza na usishangae hata mulipoteza na usishangae mulipoteza hata over 100m ksh na ufisadi humo humo
Embu watuwekee picha moja tuu ya abiria wakiwa kituoni wanasubiria au wanapanda hilo bus ambalo wanaliita BRT [emoji2]
 
Kwahiyo watu watole ikulu wakale chakula nje ya ofisi huku ni kupoteza muda wa kazi na kupelekea low productivity hapo ofisini.
Kwamba wafanyakazi wote wa ikulu waanze kufunga kwa lazima kuiombea nchi Yao. Huyu jamaa anageuza ikulu kuwa ni sehemu ya ibada kwa lazima, sijui hiyo PhD ya ya sayansi iliipataje.
 
Back
Top Bottom