Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu mshenzi anawakimbiza balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2533170
Kenya ni nchi dhaifu sn yn mtu kutoka kataifa kadogo anaitukana nchi yenu na jeshi lenu alafu hawa wadhaifu wamekaa kmy.

No wonder hii shit hole hakuna kitu imewahi kushinda, c vita, c njaa wala magonjwa.
 
Sheria za nchi, servers zako lazima ziwe hapa! Kama starlink hana mpango wa kuweka servers hapa asahau!

Watu ambao wako kwenye tech au fintech wanaelewa hapa!
Mim sijui chochote kuhusu hayo mambo. Ila hoja yako kuhusu server au ofis, nina ombi moja tu, naomba nionyeshe ofisi za MeaSat, Ses na ViaSat zilipo hapa bongo.. nina shida nao sana, nataka kuwafata ofisin kwao
 
Ni juzi tu mlikua mnashangilia Google, Facebook, Nala ambazo zote ni digital zimefungua physical offices kunyaland
Hizo zote umetaja bali na kua na offisi za kuserve region wakona innovation labs, nyinyi munaambia Starlink wawafunglie offisi za customer care incase internet iko chini mupeleke malalamishi huko. 🤣 🤣 🤣 Mkona ufala sana.
 
Hii mim niko upande wenu wakenya 😆😆😄 huyo waziri amezingua sana hapo. Starlink wenyew wanasema customer service kwao ni tatizo kubwa sana, then eti unawaconvice wafungue ofis. For what for?

Screenshot_20230301-002039_Google.jpg
 
Hii mim niko upande wenu wakenya 😆😆😄 huyo waziri amezingua sana hapo. Starlink wenyew wanasema customer service kwao ni tatizo kubwa sana, then eti unawaconvice wafungue ofis. For what for?
View attachment 2533194
Eti Starlink wenyewe, hio hata sio website ya starlink. 🤣 🤣 🤣 Usiogope kufikiria we mzee.

Website ya Starlink ndio hii hapa, wacha kuamini kila kitu unasoma kwa internet, sometimes kua critical thinker.

Tanzania is very unique country, we are smarter than many countries in Africa, we showed the way during COVID-19 pandemic by not closing our country while the whole world was closed down, ultimately the world understood what we were doing and joined us. Tanzania is the brain of Africa.
Kaka, bado unaamini katika hizi "chanjo" za mrna?
 
Eti Starlink wenyewe, hio hata sio website ya starlink. 🤣 🤣 🤣 Usiogope kufikiria we mzee.

Website ya Starlink ndio hii hapa, wacha kuamini kila kitu unasoma kwa internet, sometimes kua critical thinker.

😆😄mim sijui hayo mambo.. naelewa tu kutumia internet kutoka internet providers waliopo bongo.. hoja yangu ni wazir kutaka ofis zao ziwepo, kitu kisicho cha msingi
 
😆😄mim sijui hayo mambo.. naelewa tu kutumia internet kutoka internet providers waliopo bongo.. hoja yangu ni wazir kutaka ofis zao ziwepo, kitu kisicho cha msingi
Ooohhh nimekuelewa 😂 😂 Huyo waziri wenu ni msumbufu tu lakini mwishowe hio license atapeana tu bila hizo vikwazo vyake.
 
Ooohhh nimekuelewa [emoji23] [emoji23] Huyo waziri wenu ni msumbufu tu lakini mwishowe hio license atapeana tu bila hizo vikwazo vyake.
Bro hujui nchi ilivyo ngumu hii. Kama hivyo vigezo hana basi hapati leseni. Na akipata ujue sheria zimevunjwa.

Hivi unajua hata servers za cloud pekee hawataki hawa jamaa. Lazima uwe na kitu physical!
 
Gharama ndio kigezo. Kuna ubaya gani serikali kulipa hio hela ili pesa zibaki nchini? BTW hela za kodi ni bora tu zingerudi kwenye mzunguko wetu wenyewe hata kama bei iko juu kidogo.
Unataka jenga nyumba

Ndugu yako anasema atakujengea kwa Milioni 100, ila kuna mwingine asiye ndugu yako anasema atakujengea kwa Milioni 75, kila kitu kama ulivyoainisha.

Je utampa ndugu yako ili pesa zibaki ndani ya familia yenu au utampa asiye ndugu ili uokoe pesa?
 
Wao ndio huchagua kuweka hizo offices Kenya hua hatuwalazimishi kama nyinyi, mko desperate sana. Don't forget most of the offices in Kenya are regional offices, serving the whole continent or regions.
Sheria za Tanzania ili kupata leseni ya biashara lazima kampuni isajiliwe Tz na iwe na physical address.
 
Dunia sahii iko digital, watu wanawork remotely bado mnataka mtu aweke offisi kwa ground. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wabongo wacheni ushamba.

You can’t register a business in a country without a physical address, just a common sense?
 
Back
Top Bottom