Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aibu hii jamani 🤣🤣🤣🤣 chakula cha msaada kimeibiwa kaah🙌🙌 na walioiba ni politician wanawauzia tena wafanyabiashara wawauzie tena wakenya wanaonuka njaa na shida

Kuna kichaa mmoja alikua anasema wakikuyu ndio kabila tajiri Africa yet naona ndio wa kwanza kuunga line ya msosi kuliko Turkana na bado chakula wameiba 😂😂😂
 
Dunia sahii iko digital, watu wanawork remotely bado mnataka mtu aweke offisi kwa ground. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wabongo wacheni ushamba.
Tanzania is very unique country, we are smarter than many countries in Africa, we showed the way during COVID-19 pandemic by not closing our country while the whole world was closed down, ultimately the world understood what we were doing and joined us. Tanzania is the brain of Africa.
 
___milkyblack____1677417702770537.jpg
 
Back
Top Bottom