joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Nairobi wanakinukisha
Moja ya Rais Zombie kuwahi kuwa nae Tanzania. Sidhani kama 2025 tutarudi na huyu serial failure. Dizain wanamjaza ujinga wamkamue 2025.
She does not have the necessarily mental capacity for intellectual independence, so she relies heavily on advice and this is a big mistake for a leader.
Magufuli used to say this, "No one tells me what to do" because he was a leader.
Na vile watu wa A-town wanapenda maziwa ya brookside
Wee jama ukona shida ya kiakili bana, hakuna kampuni ndogo hapoWw taja za vichochoroni manake giants company in kenya zinajulikana mbona hata huku za vichochoroni zimejaa mfano nakupa kanda ya ziwa mwanza , kahama, bariadi, shinyanga hua wanauziwa maziwa na watu binafsi tena wanakuja kuwagongea mpaka majumbani wanapima kwa lita na ukiwahesabu hao wajasiriamali binafsi hata 5000 wanafika just imagine [emoji38][emoji38][emoji38]
Your yogurts are very bogus as a yoghurt fan , hamna varieties kama mkona varieties niwekee picha hapa si hizo ma asas tasteless hapoYogurt kupata ni shida [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ww unnawazimu wa kichwa na kumbe mpaka leo muna kasumba ya kudhani tanzania ni ile ya 90s nilidhani hamuna tena hiyo kasumba mwambie huyo aliekwambia akutaftie yogurt ya kenya tanzania na akipata anitag
Watch out tunawa overtake very soonCongratulation, lakini kuweni makini na fujo zenu za kisiasa zitarudisha tena nyuma haya mafanikio mliyoyapata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The only project Expressway imeisha mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atleast u understand there is a time it did imagine atcl has never , awkward right, alafu umeona tourism numbers ni 2.1b ?When was the last time kq posted a profit?
Fatilia nyuzi zingine nyuzi zipo nyingi Tu JFHuu uzi ndio the most useless kwa JF yote. Mimi ni Mkenya na napendaga sana nyuzi za humu, lakini huu wa Dar vs Nrb huwa unanuidhi. Hauna maana. Unawapa wendawazimu kutoka nchi zote mbili platform ya kueneza chuki ya kijinga. Itakuwa bora admin wa huku aufunge. Delete permanently!
Well said brother. Umeongea vyema sana.A
Anatengeneza ulaji Kwa wapambe for 2025,na kuongeza mzigo Kwa walipa kodi
Kodi ya imported Milk haishikiki, Azam mwenyewe yalimshinda coz alikuwa ana import unga. Ukiona maziwa kwenye shelves supermarkets za bongo jua ni pure kabisa so hakuna foreign firm yenye ubavu wa kuleta maziwa alafu wacompete na locals. Hapa JPM alicheza safi sana, haiwezekani tuna mifugo namba mbili Afrika alafu maziwa tunaimport, ni upumbavu.Unless wamezuia Kwa Sasa maana nasema hivyo Mimi mwenyewe nilikuwa kwenye kazi hiyo kipindi Niko Dar na Arusha.
Mkoa niliko Kwa sasa ukiacha Asas hakuna kampuni zingine za kigeni tofauti na za hapa hapa Mkoani..
Sodhani kama uko sawa kichwani. Yaani upo-upo tu.Mods piga ban huyu hana staha Kwa mh.Rais
Anatengeneza ulaji Kwa wapambe for 2025,na kuongeza mzigo Kwa walipa kodi.
Yes atuache wendawazimu tupeane dawa za vichaa vyetu, mtu una kisonono unafuata nini kwenye ward ya vichaa?😅😅
Sio Mtanzania huyo. Hawaijui Tanzania wanayo iongekea.Tafuta supermarket yoyote unioneshe maziwa ya kutoka kenya ukiyapata uniambie nikulipie mm 😆😆😆😆
Dar fresh
Tanga fresh
Azam
Assas
Musoma diary
Farmers fresh
Tan diaries
West kilimanjaro
Engiteng
Maziwa mbeya
Etc hzo zote ni kampuni kubwa na ww unaonekana tanzania bado huijui 😆😆😆 tafuta soko la maziwa kenya ukilipata unitag mm eti unabana saut supermarket zote zimejaa maziwa ya kenya ww hata supermarket unazijua ikiwa unatokea sumbawanga vijijini 🤣🤣🤣🤣