Punguza kuropokwa, China Square hata haiko ndani ya China Town in Nairobi. China Town inapatikana Kilimani while China Square ni mall ndani ya Kenyatta University.Mkuu hao wakenya ni watu wa kuparamia vitu wanaona NY London kuna China town na wao wanakuja na China Square maana kamji bado kadogo.
Tanzania China logistics centre modus operandi yake iko tofauti na hiyo china Square. Hapo kutakuwa na pavilions for chinese companies ambazo Tanzanians na watu wa mataifa ya jirani watakuwa wanafika hapo kuagiza bidhaa zao bila kwenda China. Kwa utaratibu huu una save cost ya usafiri na accommodation pia you get a genuine supplier of quality products next to your door step.
Kwanza sijui Kama nimeifuta, hiyo itakua ni kwabahati mbaya, ngoja nijaribu kuirudisha Kama nitaweza[emoji1] [emoji1] [emoji1787]
Kwa nini umeifuta hii comment yako?
Mkuu, kote inaenda Rwanda na Burundi, sema ni matawi tofauti Sana. Tawi la Burundi ndio litafika DRC, Hilo ni tawi kubwa na muhimu Sana kwa Tanzania. Tawi la Rwanda linaanzia Osaka na kuishia Kigali.Sgr inapita Burundi kwenda congo rwanda haiendi
Hizi ndio shida za wakenya,
Hiki kipande cha Isaka kinajengwa kwenda wapi mbali na kinachokwenda Mwanza?Sgr inapita Burundi kwenda congo rwanda haiendi
At least umekubali kuwa nyie ni igaiga wakubwa hapa Africa hata ushoga mnaupitisha kisa ni western style na kwa mentality yenu mnaona kama ni development.Punguza kuropokwa, China Square hata haiko ndani ya China Town in Nairobi. China Town inapatikana Kilimani while China Square ni mall ndani ya Kenyatta University.
Hiko kipande cha kutoka Uvinza kuelekea Gitenga Burundi tayari kuna funding ya private investor mwenyewe mines zake Burundi na RDC anatoa mpunga na sisi tuna reciprocate kwa mkataba wa kubeba cargo yake itakayosafirishwa hadi DSM port.Mkuu, kote inaenda Rwanda na Burundi, sema ni matawi tofauti Sana. Tawi la Burundi ndio litafika DRC, Hilo ni tawi kubwa na muhimu Sana kwa Tanzania. Tawi la Rwanda linaanzia Osaka na kuishia Kigali.
Kutoka Isaka hadi Rusumo ni zaidi ya 360Km ndani ya Tanzania, kwa mujibu wa mikataba, hili ni jukumu la Tanzania kujenga hicho kipande, kwasasa serikali ya Tanzania inatoa kipaumbele kwa kipande Cha Burundi Ili kufikia DRC haraka, lakini maandalizi ya kwenda Rwanda yanaendelea
Isaka ndio kwenye "junction" ya kuelekea Rwanda, kipande hicho ujenzi wake haujaanza kuelekea RwandaHiki kipande cha Isaka kinajengwa kwenda wapi mbali na kinachokwenda Mwanza?
Hapo isaka reli itagawanyika kipande kimoja kuelekea mwamza kipande kingine Musongati karibu na Rwanda.Hiki kipande cha Isaka kinajengwa kwenda wapi mbali na kinachokwenda Mwanza?
Kipande hiki mchakato wake upoje mpaka sasa?Hapo isaka reli itagawanyika kipande kimoja kuelekea mwamza kipande kingine Musongati karibu na Rwanda.
Okay. Mchakato wake upoje, fedha zimeshapatikana au bado kabisa?Isaka ndio kwenye "junction" ya kuelekea Rwanda, kipande hicho ujenzi wake haujaanza kuelekea Rwanda