Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka, bado unaamini katika hizi "chanjo" za mrna?
Mimi ni Scientist kaka, tena katika eneo la afya na viumbe hai. Chanjo ndio msingi mkubwa wa kupambana na Magojwa.

Miaka 40 Sasa bado AIDS inasumbua, lakini CORONA ndani ya miaka 3 tu inakaribia kutoweka duniani, unadhani hiyo ni kwa bahati mbaya?
 
Hivi huko Kunyaland Kuna shirika gani linaenda vizuri? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nimekutumia link kibao zinaonyesha wakenya wakiandamana kupinga wachina wasifanye biashara nchini kwao, umeiona?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni Scientist kaka, tena katika eneo la afya na viumbe hai. Chanjo ndio msingi mkubwa wa kupambana na Magojwa.
Kama scientist unafahamu kuna ongezeko kubwa la vijana (12-25yrs) kuwa na myocarditis na pericarditis, kwa wale waliochanja?
Miaka 40 Sasa bado AIDS inasumbua, lakini CORONA ndani ya miaka 3 tu inakaribia kutoweka duniani, unadhani hiyo ni kwa bahati mbaya?
Kwanini AIDS kwa miaka 40 bado haina chanjo ila corona kwa miaka mitatu tuu inachanjo?

Unafikiri ni kwa nini chanjo ya mnra sasa inazuiliwa (UK), na jimbo la Idaho (US) wanataka kuweka sheria kuwa ni kosa la jinai kutoa chanjo ya mrna?
 
Hiyo reli naona inajengwa from Tz to Rwanda then Uganda ili kila mmoja afaidike. Au from uvinza mpaka Gitenga in Burundi then Rwanda and Uganda
Inawezekana ila kumbuka kuna mmoja huwa haaminiki muda wowote analitia maji. Tanzania ndiye asiyekuwa na makuu, kwahiyo kila mmoja atataka reli yake ianzie kwetu.

Hiki kipande cha Isaka kinaweza kugawanyika katika mkoa wa Geita au Kagera kikaenda Rwanda na Uganda.
 
Mkuu nimekutumia link kibao zinaonyesha wakenya wakiandamana kupinga wachina wasifanye biashara nchini kwao, umeiona?[emoji23][emoji23][emoji23]
Yap ila wanasema wao hawataki wachina waje kufanya uchuuzi ila wawekeze kwenye extractive industry.

Hata Tanzania hili limewahi jitokeza pale Kariakooo watu kupinga wachina kuuza Hadi viatu Kwa reja reja
 
China Square hapo Nairobi sio uchuuzi, ni Kama hii business complex inayojengwa na wachina pale Ubungo. Yani wachina wanaleta bidhaa zao toka China na wanauza kwa bei nafuu. Mkuu ogopa Sana wakenya.
 
Kenya ni nchi dhaifu sn yn mtu kutoka kataifa kadogo anaitukana nchi yenu na jeshi lenu alafu hawa wadhaifu wamekaa kmy.

No wonder hii shit hole hakuna kitu imewahi kushinda, c vita, c njaa wala magonjwa.
Sasa hii ndio nini?, Warudi Kenya kupambana na Eric Omondi na Rails barabarani.
 
Kenya ni nchi dhaifu sn yn mtu kutoka kataifa kadogo anaitukana nchi yenu na jeshi lenu alafu hawa wadhaifu wamekaa kmy.

No wonder hii shit hole hakuna kitu imewahi kushinda, c vita, c njaa wala magonjwa.
Mti wa matunda ndo watu urusha mawe.
 
Maswsli 3

1)Kuhusu vijana waliochanjwa kuwa na tatizo la myocarditis, hiyo haijawathibitishwa kuwa na uhusiano wote na chanjo ya Corona, utafiti zaidi unahitajika, ikithibitika mamlaka husika(WHO) itatoa muongozo nini Cha kufanya.

2)Kutokuwepo kwa chanjo ya HIV hadi leo. Kama ambavyo bado hatujapata chanjo za magonjwa mengi tu, Malaria, Cancer, Ebola, ukoma na mengine mengi, bado hatujapata tamaa, kazi inaendelea.

3)Kuhusu (UK) na US na baadhi ya mataifa kukataa chanjo za mRNA. Kwanza Sina uhakika Kama unalosema ni kweli. Kama ni kweli basi Kila nchi Ina Sheria na taratibu zake. UK na USA wameruhusu ushoga, mbona sisi hatuwaigi?

Mkuu, hatupaswi kuiga UK au nchi yoyote katika mambo yanayohusu afya, tunapaswa kufuatia ushahidi wa kisayansi unaothibitishwa na WHO tu.
😄 😄 🤣
Kwa nini umeifuta hii comment yako?
 
Inawezekana ila kumbuka kuna mmoja huwa haaminiki muda wowote analitia maji. Tanzania ndiye asiyekuwa na makuu, kwahiyo kila mmoja atataka reli yake ianzie kwetu.

Hiki kipande cha Isaka kinaweza kugawanyika katika mkoa wa Geita au Kagera kikaenda Rwanda na Uganda.
Sgr inapita Burundi kwenda congo rwanda haiendi
 
China Square hapo Nairobi sio uchuuzi, ni Kama hii business complex inayojengwa na wachina pale Ubungo. Yani wachina wanaleta bidhaa zao toka China na wanauza kwa bei nafuu. Mkuu ogopa Sana wakenya.
Mkuu hao wakenya ni watu wa kuparamia vitu wanaona NY London kuna China town na wao wanakuja na China Square maana kamji bado kadogo.

Tanzania China logistics centre modus operandi yake iko tofauti na hiyo china Square. Hapo kutakuwa na pavilions for chinese companies ambazo Tanzanians na watu wa mataifa ya jirani watakuwa wanafika hapo kuagiza bidhaa zao bila kwenda China. Kwa utaratibu huu una save cost ya usafiri na accommodation pia you get a genuine supplier of quality products next to your door step.
 
Back
Top Bottom