Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2520058
20230217_081343.jpg
View attachment 2520059
 
UKisoma Comments kwenye Post hiyo
Ndio Utawashangaa Baadhi ya Watanzania Wanao Sema Kenya nindugu kiukweli Siwezi kuwa na Udugu na Mkenya mie Never Niwatu wenye Wivu,Chuki na Roho Mbaya sana Duniani
Cha ajabu MV Magogoni inafanyiwa ukarabati na Tender wamepewa Wakenya. Serikali hii sijui ina vipaumbele gani. Imewanyima tender Songoro marine kampuni iliojenga vivuko vingi tu nchini.
 
Cha ajabu MV Magogoni inafanyiwa ukarabati na Tender wamepewa Wakenya. Serikali hii sijui ina vipaumbele gani. Imewanyima tender Songoro marine kampuni iliojenga vivuko vingi tu nchini.
Huenda Songoro ana kazi nyingi hivyo kutakuwa na delay ya kurejesha kivuko kwenye operation na possibly gharama nafuu inaweza ikawa imechangia.
 
Huenda Songoro ana kazi nyingi hivyo kutakuwa na delay ya kurejesha kivuko kwenye operation na possibly gharama nafuu inaweza ikawa imechangia.
Gharama ndio kigezo. Kuna ubaya gani serikali kulipa hio hela ili pesa zibaki nchini? BTW hela za kodi ni bora tu zingerudi kwenye mzunguko wetu wenyewe hata kama bei iko juu kidogo.
 
Huenda Songoro ana kazi nyingi hivyo kutakuwa na delay ya kurejesha kivuko kwenye operation na possibly gharama nafuu inaweza ikawa imechangia.
Kazi nyingi zipi? Ili ni kampuni ya matapeli Sukuma gang.

Hao wahuni wa Songoro walijenga meli za MV Mbeya,MV Nyasa na MV Njombe baada ya mwezi mmja kwenye Maji mameli yakaharibika.

Meli zimekaa miezi 6 kwenye matengenezo upya yaliyolipiwa na Serikali,kisa tuu ni kampuni ya mchongo na watu wanaitumia kupiga pesa,haya yametokea zama za Mwendazake na hakuna hatua zimechukuliwa.

Hawa wasipewe kazi nyingine yeyote.
View attachment 2520164View attachment 2520165
 
Wazalishaji wawe wengi, Tanesco abaki na transmission halafu distributors wawe wengi walete ushindani.
Kinadharia linaonekana ni zuri lakini kiuhalisia ni ngumu Sana. Umeme ndio Kila kitu katika kuendesha uchumi wa nchi, serikali ikishindwa kudhibiti gharama za uzalishaji, na usambazaji umeme, bei ya umeme inakua juu sana, gharama za uzalishaji zinapanda, wawekezaji wanakimbia na uchumi unayumba.

Siku zote wafanyabiashara binafsi wanafikiria faida zaidi, lazima watasingizia gharama kubwa za uzalishaji Ili waweze kuiuzia Tanesco kwa bei kubwa zaidi, ndio tatizo la Kenya hivi Sasa.

Serikali lazima uwe na uwezo wa kuzalisha umeme wake angalau kwa 70%, hiyo 30% ndio iache kwa private sector, Ili serikali iweze kuwa na "grip" katika sector hiyo.
 
Back
Top Bottom