Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wah na mko nyuma,hapa Kenya zinapiga daily forever 😅
Itakua na destinations 2 Tanzania wakati kunyaland that's impossible
Screenshot_20230227-202717.png
 
Huyu mwamba nahisi ni recognized
Babu hesabu ya vitu kama hivi huwezi oanisha na population moja kwa moja. Nyumba moja ina wastani wa watu sita.
Baba,mama, watoto wa wili na dada wa kazi labda na bibi

Sasa kila mtu awe na mtungi wake wa gesi? Kila mtu awe na king'amuzi chake??

Tuzichanganue vizuri hizi katwiku. Ulitakiwa kutumia takwimu za sensa ya majumba!
 
https://www.kdb.go.ke/milk-producers-groups/

Za kenya ndio hizo over 100 weka za tanzania tuone mr.clueless
Ww unataka kuniambia apart from giant companies in kenya kama brookside, KCC, na kampuni hzi kuna kampuni gani 😆😆 ww unaniletea kampuni za vichochoroni unaita kampuni try to be serious
 
Hapa Tanga kuna kampuni inaitwa Tanga fresh na Mara nmefika kuna kampuni inaitwa Mara dairy
Ww unataka kuniambia apart from giant companies in kenya kama brookside, KCC, na kampuni hzi kuna kampuni gani 😆😆 ww unaniletea kampuni za vichochoroni unaita kampuni try to be serious
 
Shida ninayoiona ni watu wa takwimu Tz ni wazembe sn, huwa wanaweka takwimu ambazo kiuhalisia sio kweli, siku hizi watu wengi wanatumia mitungi ya gesi hata wauza chips wengi wao wameshaona ni hasara kupikia mkaa, kwanza mkaa wenyewe kuupata cku hz ni kama dawa za kulevya haupatikani hovyo, hiyo ni kwa huku mijini. Lakini cku hz hata vijijini wameanza kupikia kwa gesi mana kiukweli mtungi wa gesi ukinunua unakaa kwa mda mrefu sn hivyo una save pesa nyingi.
Kaka mkaa wa 2000kwa siku haitoshi kabisa. Sasa piga hesabu

2000×30= 60,000

Wakati mtungi wa 25kg unapata Kwa 58,000 sehemu zingine labda zaidi au chini kidogo. Ha huu mtungi unatumia minimum miezi 2

Mtu anaetumia mkaa anajitia umasikini mwenyewe!

Labda watu wa bush wanaotumia kuni.
 
Hapa Tanga kuna kampuni inaitwa Tanga fresh na Mara nmefika kuna kampuni inaitwa Mara dairy
Kampuni nyingi ni ndogo ndogo tuu,kubwa ni kama Dar fresh,Azam diary ,Asas diary ila Kuna utitiri wa vikampuni..

Supermarkets nyingi za zimejaa maziwa ya kampuni za Wakunya Kwa sababu za kwetu hazina uwezo wa ku feed soko letu.
 
Back
Top Bottom