Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimewahi ni Moja ya kampuni kubwa niliosahau pale kwenye list yangu but ngumu sana kukuta bidhaa za Tanga fresh Songea au hata Tabora..

Tunarudia kule kule kama ni vikampuni hapa Bongo vingi sana ila ni local.
Kwa experience yangu ya Supermarket bidhaa inayotoka haraka ya maziwa ni Azam Milk ,Brookside za Kunyaland ndio wanafuata hao wengine mwisho mwisho huko
Wewe unaishi mji gani kwanza? Brookside sijaiona huku tz huu ni mwaka wa 15 sasa.
 
Sio wamezuia kwa sasa miaka 5 nyuma maziwa yote ya kenya yalitoweka kutokana na ushindani wa kampuni za kitanzania ww unaongea nn hapa ikiwa hata hujui dunia imefika wapi? Kampuni za maziwa tanzania zishakua nyingi kias kwamba hakuna nafas ya kampuni za kenya kuuza kwenye soko hili
Ushindani umeondoa maziwa ya Kenya sokoni. Gharama za uzalishaji logistics na kodi zilifanya maziwa ya Kenya kuwa ghali na kushindwa ku compete na local products.
 
South C

Image
 
Kuna mjinga mmoja alisema SGR haitarudisha pesa, sasa jiulize meli yote hiyo mzigo wote unaenda DRC na bado huo ni mzigo mdogo tu katika shehena zake, tani 6900 ni trips 276 za malori biashara nzuri kwa haulers lakini SGR ikikamilika mzigo wote huo utaenda DRC kwa siku 1 na bado nafasi ya Tani 3100 inabaki
Kaka watu wanakosa maono huku wakiongozwa na chuki kwasababu aliyejenga mradi si kipenzi chao.

Sisi hatuendeshwi na hisia za chuki mahali ambapo serikali inafanya vizuri tunawapa pongezi.

Tunaangalia maendeleo ya Tanzania na wala si ya mtu mmoja. Tutampenda mtu yeyote yule mwenye mapenzi mema na nchi yetu.

Wachumia tumbo tutasimama kinyume nao. Tutakavyotumia reli kusafirisha mizigo tunatoa unafuu wa barabara zetu kutokuharibika.

Zile pesa za maintenance za barabara tutazitumia kufanyia mambo mengine maana barabara zitadumu muda mrefu pasipo kuharibika.

Reli italeta unafuu kwenye usafirishaji wa bidhaa na bei zitashuka, hivyo maisha yatakuwa rahisi zaidi kwa Mtanzania.

Acha tuendelee kuusema ukweli na kuuamini. Ukweli humuweka mtu huru.
 
Hivi asiyekuwa na kisimbusi na asiye na chakula nani maskini zaidi hapo embu nisaidieni uelewa kidogo.
Sasa ukikosa msosi duniani umekuja kufanya nini?

Mtu asiyekuwa na uhakika wa kula ni fukara.

Asilimia 48% Kenyans watakabiriwa na njaa kati ya mwezi March to June, hivyo wanahitaji msaada wa chakula.

Chanzo cha hii taarifa ni Azam
TV.

Sasa kama wana uchumi mkubwa na wako connected na visimbuzi kuliko Tanzania inawasaidiaje hapa?

Watu watakufa njaa huku wanatizama luninga
 
Kungekua na option ya "romove" ningeshamremove akanywe kahawa uko na village dwellers wenzake hapo Tandahimba View attachment 2532117muone kwanza ananuka Chitohori .. Mtu wa dili huyu
Eti mtu wa dili

Mtu wa dili ukimtibulia michongo yake utegemee ugomvi naye hata ufanye zuri lipi hawezi kulikubali anakuwa anakumbuka ulivyomuharibia michongo yake.

Umewahi kuona mwizi aliyeibiwa kitu alichoiba ambavyo huwa analalamika kwa simanzi kuliko hata yule mwenye kitu chake halali kilichoibwa?
 
Eti mtu wa dili

Mtu wa dili ukimtibulia michongo yake utegemee ugomvi naye hata ufanye zuri lipi hawezi kulikubali anakuwa anakumbuka ulivyomuharibia michongo yake.

Umewahi kuona mwizi aliyeibiwa kitu alichoiba ambavyo huwa analalamika kwa simanzi kuliko hata yule mwenye kitu chake halali kilichoibwa?
Wachovu,wavivu na failures ndio hutumia hizo Kauli za kipuuzi eti mtu wa dili..
 
Back
Top Bottom