Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya Ina users wengi wa LPG kuliko Tanzania despite Tanzania kuwa producer wa LPG. Alafu sijui hiyo data ya kampuni za gas kuwa nyingi Tz umeitoa wapi. Anyway, kilicho cha maana ni quantity of gas consumed sio number of companies providing the gas.
Ikiwa kampuni za LPG zipo nyingi huku Tz kuliko huko shit hole unashangaa nn ukisikia number of users ni wengi kuliko kwenu, takwimu za juzi tu hapa Rais wenu amesema more than 70% ya Wakenya wanapikia kuni we unabisha nn sasa.
 
Screenshot_20230226-063511_1.jpg

Screenshot_20230226-063155_2.jpg

SMART
 
Tanzania Kwa Sasa tuna enjoy improved Heath facilities na services .

Hiki ni Kituo Cha Afya huko Kijijini View attachment 2530279View attachment 2530280View attachment 2530281View attachment 2530282View attachment 2530283View attachment 2530284
Uwekezaji huu mkubwa ubakabiliwa na wataalamu wachache wa mionzi...ni kipindi cha kuwahamasisha vijana waliofaulu vizuri Masomo ya science Physics, chemistry,biology and mathematics kusoma Diagnostic Radiography Goli liko wazi kabisa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kule gesi huku pipeline, LNG ina-beep, yajayo yanafurahisha!

MY TAKE
Simuelewi mama kumuondoa dr Mataragio na kumuweka Mzanzibari TPDC, kunani?

Usijali, atarudi tena.

* Dec. 2014 - Appointed DG of TPDC

* Aug. 2016 - Suspended

* July 2019 - Reinstated

* April 4, 2021 - Dismissed

* April 5, 2021 - Reinstated

* February 2023 - Dismissed
 
Usijali, atarudi tena.

* Dec. 2014 - Appointed DG of TPDC

* Aug. 2016 - Suspended

* July 2019 - Reinstated

* April 4, 2021 - Dismissed

* April 5, 2021 - Reinstated

* February 2023 - Dismissed
Kuna mahali anatia ngumu!
 
Wakenya mnachekesha sana. Tanzania kuna zaidi ya makampuni 5 ya gas majumbani halafu unaendelea kulalamika eti watumiaji wachache. Hizi ni akili au matope?

Mpaka vijijini matumizi ya gasi ni makubwa tu.
Kuna Watz wachache wasiojitambua humu ndio wanawapa nguvu hawa kima, yn kiwango cha kutojiamini kwa hawa Watz kimevuka mipaka, just imagine shit hole country tumeipelekea LPG kwamba wana hali mbaya lkn kuna Watz hawajiamini kabisa, wallahi ujamaa umetuharibu kabisa. Mtu anaongea kabisa "Kenya kuna middle class kubwa kuliko Tz" alafu mtu huyo huyo baadaye anapost slums za Kenya aki claim kwamba Tz iko vzr, hivi mtu kama huyu anajielewa kweli? Wote humu tunajua kwamba Wakenya wana maisha magumu evidence zote zimeonesha hivyo lkn kuna Watz wachache wanatuangusha sn yn hawajiamini kabisa.

Hili suala la Rostam kama ingekuwa ni kampuni ya shit hole country imekuja kuwekeza Bongo wallahi tungekoma humu, lkn cc Watz kwasabu ujamaa umetuharibu tunaona kawaida tu wkt hili sio jambo la kawaida, hii ni zaidi ya kuuteka uchumi wa nchi jirani.
 
Kuna Watz wachache wasiojitambua humu ndio wanawapa nguvu hawa kima, yn kiwango cha kutojiamini kwa hawa Watz kimevunga mipaka, just imagine shit hole country tumeipelekea LPG kwamba wana hali mbaya lkn kuna Watz hawajiamini kabisa, wallahi ujamaa umetuharibu kabisa. Mtu anaongea kabisa "Kenya kuna middle class kubwa kuliko Tz" alafu mtu huyo huyo baadaye anapost slums za Kenya aki claim kwamba Tz iko vzr, hivi mtu kama huyu anajielewa kweli? Wote humu tunajua kwamba Wakenya wana maisha magumu evidence zote zimeonesha hivyo lkn kuna Watz wachache wanatuangusha sn yn hawajiamini kabisa.

Hili suala la Rostam kama ingekuwa ni kampuni ya shit hole country imekuja kuwekeza Bongo wallahi tungekoma humu, lkn cc Watz kwasabu ujamaa umetuharibu tunaona kawaida tu wkt hili sio jambo la kawaida, hii ni zaidi ya kuuteka uchumi wa nchi jirani.
Hao sio watanzania. Wanajifanya watanzania kutuchanganya. Ingnore them. Hii thread imekuwa hapa miaka mingi sana. Hao wanao comment hivyo siyo watanzania.
 
Mkuu, ndio sababu nikakuambia waulize wafanyabiashara wakubwa ambao wanakwenda Kenya kuwekeza, hao ndio wanaowajua wakenya, wewe hujawahi kuwa mfanyabiashara mkubwa ambaye unaweza kuwa tishio kwa wafanyabiashara wa Kenya, wewe uliajiriwa na kufanya kazi na wakenya.

Wewe unachanganya kati ya utendaji kazi wa wakenya na Kenya kuwa ni nchi inayoruhusu biashara huru, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Wewe ulifanyakazi na wakenya, kwahiyo unawajua vizuri utendaji wao wa kazi ukilinganisha na watanzania, lakini hujawahi kwenda Kenya kuwekeza, huko hukujui vizuri, wanaowajua vizuri wakenya katika uwekezaji ni
1)Serikali ya Uganda
2) Rostam Aziz
3)Aliko Dangote
4)Mo Dewji
5) Bakhresa
Waulize watakujuza vizuri.

Kuhusu kuondoa vikwazo vya biashara, Hilo kwa wakenya Wala lisikupe matumaini yoyote, hakuna vikwazo vyovyote vya biashara kati ya Kenya na Uganda, lakini Kenya wanaamua tu kuzuia bidhaa za Uganda bila kufuata taratibu za makubaliano.

Mkuu jipe muda vizuri wa kuwajua wakenya, usifurahie maneno na maandishi Kama hayo ya kwenye magazeti, inapofika kwenye utekelezaji, wakenya wanaangalia maslahi Yao, kamwe hawajali Kama kulikua na makubaliano yoyote, Kenya ni "man eat man society", never trust them.
Hiyo taifa gas yenyewe mpaka kufikia hapo ristam kaipambania sana
 
Kuna Watz wachache wasiojitambua humu ndio wanawapa nguvu hawa kima, yn kiwango cha kutojiamini kwa hawa Watz kimevuka mipaka, just imagine shit hole country tumeipelekea LPG kwamba wana hali mbaya lkn kuna Watz hawajiamini kabisa, wallahi ujamaa umetuharibu kabisa. Mtu anaongea kabisa "Kenya kuna middle class kubwa kuliko Tz" alafu mtu huyo huyo baadaye anapost slums za Kenya aki claim kwamba Tz iko vzr, hivi mtu kama huyu anajielewa kweli? Wote humu tunajua kwamba Wakenya wana maisha magumu evidence zote zimeonesha hivyo lkn kuna Watz wachache wanatuangusha sn yn hawajiamini kabisa.

Hili suala la Rostam kama ingekuwa ni kampuni ya shit hole country imekuja kuwekeza Bongo wallahi tungekoma humu, lkn cc Watz kwasabu ujamaa umetuharibu tunaona kawaida tu wkt hili sio jambo la kawaida, hii ni zaidi ya kuuteka uchumi wa nchi jirani.
Ujamaa is the right thing ever done by Julius Nyerere in this country, otherwise majority of Tanzanians would be the same as those in Kenya who live in slums and don't have anything to eat.

Hao jamaa hawakosikani katika nchi yoyote hapa duniani. Mkuu watu wengi hasa wakenya walipenda Sana Kama Jommo Kenyatta angefuata siasa ya Ujamaa, sio sawa kuhusisha Ujamaa na watu hao, hizo ni akili zao, ni mitazamo Yao, ni haki ya Kila mtu kuwa na mtazamo wake.
 
Back
Top Bottom