Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uzi ndio the most useless kwa JF yote. Mimi ni Mkenya na napendaga sana nyuzi za humu, lakini huu wa Dar vs Nrb huwa unanuidhi. Hauna maana. Unawapa wendawazimu kutoka nchi zote mbili platform ya kueneza chuki ya kijinga. Itakuwa bora admin wa huku aufunge. Delete permanently!
Khaa... Yaani unataka waufunge uzi wetu. We fuatilia nyuzi unazozipenda. Hii thread Ina wenyewe na wewe sio mmojawapo. Hebu tuache tu-enjoy sisi
 
Kodi ya imported Milk haishikiki, Azam mwenyewe yalimshinda coz alikuwa ana import unga. Ukiona maziwa kwenye shelves supermarkets za bongo jua ni pure kabisa so hakuna foreign firm yenye ubavu wa kuleta maziwa alafu wacompete na locals. Hapa JPM alicheza safi sana, haiwezekani tuna mifugo namba mbili Afrika alafu maziwa tunaimport, ni upumbavu.
Hapa Sasa umejibu swali la Msingi kumbe waliongeza kodi
 
Ndanda village.
Mtwara, Tanzania. You can't compare with any village in Kundustan
images%20(11).jpg
View attachment 2532659
images%20(13).jpg
images%20(14).jpg
images%20(15).jpg

View attachment 2532664
 
Huu uzi ndio the most useless kwa JF yote. Mimi ni Mkenya na napendaga sana nyuzi za humu, lakini huu wa Dar vs Nrb huwa unanuidhi. Hauna maana. Unawapa wendawazimu kutoka nchi zote mbili platform ya kueneza chuki ya kijinga. Itakuwa bora admin wa huku aufunge. Delete permanently!
Kabla hata ya huu uzi mlikuwa na chuki na Watz miaka mingi sn.
 
Back
Top Bottom