Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu jamaa alikuwa think tank kweli nilikuwa sikosi makala zake, until alipom-join Ruto!
You used to like him because he used to criticize the Kenyan government, now you hate him because speaks for the same. Watu sii wajinga buanaaa.
 
Kwa sie tunapenda biashara na ambao hatusubirii kutumwa ndio tupate msosi Wetu tukiona kumbe kama hizi Huwa tunafurahi sana View attachment 2529256
Biashara ndio njia pekee ya Kutatua mass unemployment Kwa Nchi za Afrika na sio uhasama wa kipumbavu.

Mara zote nitamuunga mkono Rais yeyote mwenye mtizamo wa kukuza biashara ndio maana namkubali Samia, Kenyatta na Ruto na ni adui mkubwa sana wa sera za Mwendazake
Mkuu ninadhani bado hujawajua wakenya vizuri, waulize waganda watakuambia kuhusu wakenya katika biashara.

Jana ulimsikiliza vizuri Rostam Aziz alichokisema katika hotuba yake mbele ya Rutto?.

Msikilize Dangote kwanini alishindwa kuwekeza Kenya, Hivi kwanini Mo na Bakhresa hadi Leo wameshindwa kufungua viwanda Kenya lakini wameweza kufungua viwanda vikibwa South Africa na nchi zingine za Afrika hadi Ghana?.

Mkuu jipe muda uwajue wakenya kwa undani, usisikilize maneno Yao ya kujifanya wao wanata biashara huru. Fuatilia sakata la sukari, mayai na maziwa toka Uganda kwenda Kenya.
 
Nimefanya nao kazi Uchumi Supermarket, biashara ni ushindani badala ya kukimbia uwanja jipange kushinda.

In fact Mimi nilijifunza kuwa aggressive na kujali wateja.Nakupa mfano mdogo hivi customer care iliyopo equity au KCB ni sawa na crdb na nmb? šŸ˜šŸ˜

Mwisho nimesema kuondoa vikwazo robo tatu baina Kenya na Tzn vimenufaisha Tanzania kuliko Kenya Kwa value of products regardless volume of goods and services ndio maana tuna positive BoP
 
Uoga gani bongolala? Huyo ni mwekezaji na anajua mahali pesa iko. Why would he waste his money in Tanzania where only 7% of all households use gas for cooking? Anajua Tanganyika hakuna soko kwa hivyo akaona afulize hadi Kenya ambapo asilimia kubwa ya wananchi wanatumia gesi kupikia ikilinganishwa na Tanzania. Ni akili mtu wangu
What about those your 524 companies which ran away from shithole countries and came to Tanzania, don't they know which country has more money between Kenya and Tanzania?
 
Yaani ww inawekena ulikua fisadi,au baba Yako,mkeo,mama Yako,kaka Yako dada Yako na Kuna mahala hlikuwa unapata pesa bila kufanya kazi ww sio Kwa chuki hizo kwa JIWE
Kwa sie tunapenda biashara na ambao hatusubirii kutumwa ndio tupate msosi Wetu tukiona kumbe kama hizi Huwa tunafurahi sana View attachment 2529256
Biashara ndio njia pekee ya Kutatua mass unemployment Kwa Nchi za Afrika na sio uhasama wa kipumbavu.

Mara zote nitamuunga mkono Rais yeyote mwenye mtizamo wa kukuza biashara ndio maana namkubali Samia, Kenyatta na Ruto na ni adui mkubwa sana wa sera za Mwendazake
 
Nionyeshe ya mzazi wako nione.🤣🤣
Haya tuanze kidogo kidogo.

1677309632099.png
 
Yaani ww inawekena ulikua fisadi,au baba Yako,mkeo,mama Yako,kaka Yako dada Yako na Kuna mahala hlikuwa unapata pesa bila kufanya kazi ww sio Kwa chuki hizo kwa JIWE
Ndio shida za nyie watu wajinga na mnaotegemea Mishahara na jasho la watu,kuwa intelligent sio kuwa na Cheti tuu.
 
Mzee unataka nianze kuonesha vitu vyangu binafsi nimekuonesha kitu kidogo #436,491
Umevileta humu mwenyewe. Hakuna aliyekuuliza nyumba ya mamako kijijini inakaa vipi. Unejitamba kwamba MBA nyumba kama hizo vijijini nikakuuliza unionyeshe ya mamako. Mbona unaliaa?🤣🤣
 
Umevileta humu mwenyewe. Hakuna aliyekuuliza nyumba ya mamako kijijini inakaa vipi. Unejitamba kwamba MBA nyumba kama hizo vijijini nikakuuliza unionyeshe ya mamako. Mbona unaliaa?🤣🤣
Naona sasa ushamba unaendelea kuishi. Mzee sisi tunajenga majumba wenyewe kijijini.
Kuna vijiji nikikuonesha hapa utakimbia.
Hakuna kijiji chochote kenya kinaweza shindana na vijiji vya Tanzania.
Kama unabisha sema.
 
Nipe kimojawapo alichokukera JIWE
Nimeshakwambia Jiwe alikuwa na sera za Kijamaa,Jiwe alikuwa nanuhasama na Kenya alaharibu soko letu la Mahindi,mbogamboga,matunda eg parachichi na mazao ya kuku nk..

Inawezekana hujui kitu Kwa sababu unaishi Kwa salary,Teknolojia ya Kilimo Kwa sehemu kubwa inaingia kutoka Kenya Tanzania na mbegu za mazao nyingi tunaagiza huko huko..

Mfano Dar airport hapo hakuna hata cold storage facilities zote ziko Kenya labda saizi ndio nilimsikia wanajenga Sasa ukigombana nao Kwa hisia za kijinga tuu matokeo yake ndio hayo Sasa..

Mwisho Jiwe na private sector wapi na wapi? Ajira zenyewe alikuwa hatoi na hana strategy ya kufanya watu wajisajili kisa tuu anataka watu wawe mafukara Ili awatawale anavyotaka,huu ni upuuzi..

Jiwe alikuwa anataka kutufanga kama Ethiopia,mna mna ma Sgr,ma ndege sijui nn ila watu maskini wa kutupwa wanakimbia kwao..

Wewe kwako hivyo unaona ni sawa?
 
Nimefanya nao kazi Uchumi Supermarket, biashara ni ushindani badala ya kukimbia uwanja jipange kushinda.

In fact Mimi nilijifunza kuwa aggressive na kujali wateja.Nakupa mfano mdogo hivi customer care iliyopo equity au KCB ni sawa na crdb na nmb?

Mwisho nimesema kuondoa vikwazo robo tatu baina Kenya na Tzn vimenufaisha Tanzania kuliko Kenya Kwa value of products regardless volume of goods and services ndio maana tuna positive BoP
Mkuu, ndio sababu nikakuambia waulize wafanyabiashara wakubwa ambao wanakwenda Kenya kuwekeza, hao ndio wanaowajua wakenya, wewe hujawahi kuwa mfanyabiashara mkubwa ambaye unaweza kuwa tishio kwa wafanyabiashara wa Kenya, wewe uliajiriwa na kufanya kazi na wakenya.

Wewe unachanganya kati ya utendaji kazi wa wakenya na Kenya kuwa ni nchi inayoruhusu biashara huru, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Wewe ulifanyakazi na wakenya, kwahiyo unawajua vizuri utendaji wao wa kazi ukilinganisha na watanzania, lakini hujawahi kwenda Kenya kuwekeza, huko hukujui vizuri, wanaowajua vizuri wakenya katika uwekezaji ni
1)Serikali ya Uganda
2) Rostam Aziz
3)Aliko Dangote
4)Mo Dewji
5) Bakhresa
Waulize watakujuza vizuri.

Kuhusu kuondoa vikwazo vya biashara, Hilo kwa wakenya Wala lisikupe matumaini yoyote, hakuna vikwazo vyovyote vya biashara kati ya Kenya na Uganda, lakini Kenya wanaamua tu kuzuia bidhaa za Uganda bila kufuata taratibu za makubaliano.

Mkuu jipe muda vizuri wa kuwajua wakenya, usifurahie maneno na maandishi Kama hayo ya kwenye magazeti, inapofika kwenye utekelezaji, wakenya wanaangalia maslahi Yao, kamwe hawajali Kama kulikua na makubaliano yoyote, Kenya ni "man eat man society", never trust them.
 
Mambo kama haya Jiwe angekataa angekwambia ni kuuza Nchi ndio maana aliua project ya kigamboni new city,kawe,Burka nk nk Kupitia NHC na pension corporations..

Leo hii Huwa mnapiga hata picha za kutupia humu ni Kwa vile sera za uliberali za Mkapa na JK zilipamba Miji yetu kwa majengo mazuri Kila sehemu vinginevyo angekuwa Jiwe hakuna kitu mungepiga zaidi ya hizo Sgr ambazo ni za maonyesho ila zitaleta hasara Hadi kizazi kijacho..

Wazungu walipojenga reli tayari walikuwa na malighafi za kusafirisha waliosepa mareli yakasalia mzigo Kwa walipa Kodi ,Sasa Sgr ya kwenda huko Mwanza itasafirisha nini? Itaishia kuwa kama Atcl tutatumia Kodi kuziendesha Kwa hasara..

Bora Kunyaland licha ya kujenga Sgr ya diesel ila imejengwa ukanda wa biashara,ya kwetu ya umeme inaenda kusiko na Biashara ukiuliza watakwambia eti inalenga miaka 100 ijayo Kwa hiyo tuendelee kuumia kusubiria hiyo miaka ijayo ilete Tija? Wendawazimu huu,why usijenge kupelekea njia ya SADC?

Hiyo Sgr yenu ingekuwa na maana kama tungekuwa na Uchumi mkubwa huko inakoenda maana Kwa hulka ya reli Huwa haichochei ukuaji wa uchumi Kwa Kasi kama Barabara.
 
Back
Top Bottom