Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo data zenye hutaki ndio zinaonyeshwa ukweli on the ground. Per capita tunawazidi, HDI tunawazidi, poverty index tunawazidi, yani nyinyi ni vijimaneno vijimaneno tu ya kujiliwaza na kutaja njaa after every two minutes. Njaa iliyopo Kenya ni kutokana na ukame, a natural occurance, sio kwa sababu watu wa hayo maeneo are living in extreme poverty
Per capita ipi hiyo? Au unazungumzia per capita wakati sh iko 99 to the US dollar? Hiyo per capita unayoijua wewe then sasa deduct 30% ndio unapata your current per capita.
 
Kagera7ffcaaa4f26e-780x470.jpg


BALOZI wa Tanzania nchini Rwanda, Richard Mutayoba na Balozi wa Rwanda hapa nchini, Charles Kalamba wamekutana kujadili wananchi wao wanavyoweza kunufaika na fursa mbalimbali za kimaendeleo na kiuchumi zilizomo maeneo yao.
 
Masikini wa Tanzania mostly hawawezi kuafford luxurious needs ila basic wanapata. Lakini masikini wa Kundustan hata basic needs hawawezi kuafford
Hivi serious wananchi milioni 6 hawajui nini wale
 
Per capita ipi hiyo? Au unazungumzia per capita wakati sh iko 99 to the US dollar? Hiyo per capita unayoijua wewe then sasa deduct 30% ndio unapata your current per capita.
Bongolala, data is given as per current prevailing circumstances. The per capita income of most countries, Kenya and Tanzania included, was last calculated in 2021. During that time, Kenyan shilling was already losing ground against the dollar na bado tuliwashinda by far.

In 2021, Kenya's per capita income was $2,081 compared to $1,099 for Tanzania. Najua mtapinga kama ilivyo Kawaida yenu but ripoti yenyewe ndio hii hapa na ni ya WB

Niliwaambia hapo awali kwamba the only thing mtatushindia ni umasikini, nothing else
 
Mkuu, Rwanda ni wanunuzi wazuri wa Michele wetu, watumiaji wa bandari ya Dar, wanunuzi wazuri wa cement na tiles za Tanzania, soko zuri la Azam products, kwa ufupi Rwanda ni soko letu zuri Sana.
Naongelea raia au wafanyabiashara wa tz kuwa rwanda biashara labda hiyo yaMchele sawa..
 
Back
Top Bottom