Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, I know you are dumb but let me make it easy for you. 28 million people represents 46.6% of Tanzanians (almost half of your population). And mark you, these are people living in extreme poverty, not moderate poverty.

On the other hand, 23 million Kenyans are living below the poverty line. Compare that with Tanzania where 26 million people live below poverty line. Hii ni ripoti ya serikali yenu sasa sijui mtaipinga aje as you always do to every single report we bring here.

Najua hautaisoma but this is the section they've mentioned poverty line in Tanzania View attachment 2524850
Stop comparing apples with oranges. Nyinyi tumewazidi kila kitu except umasikini uliokithiri
Huna akili wewe yani uifananishe Tz na Kenya kwenye umaskini? Una kichaa sio bure.
 
Nipe ripoti yoyote ya WB, IMF or any other reputable body inayosema kwamba South Africa inazidi Tanzania in extreme poverty. Usiwe unatoa maneno akilini. Hapa tunatumia evidence
Hivi hujui kwamba South Afrika Kuna maelfu ya watu hawana uwezo wa kujilisha wanategemea kuishi kwa msaada wa chakula Kama Kenya?, Hujui kwamba kushindwa kupata chakula ndiyo kipimo Cha mwisho Cha kupima umasikini wa watu?
 
Nipe ripoti yoyote ya WB, IMF or any other reputable body inayosema kwamba South Africa inazidi Tanzania in extreme poverty. Usiwe unatoa maneno akilini. Hapa tunatumia evidence
At least nchi yetu haijatoa even one of the biggest slums in the world [emoji38][emoji38]
Kenya, Nigeria, South Africa, India, etc. mpo level moja kwenye umasikini uliokubuhu[emoji706][emoji706]
 
Huna akili wewe yani uifananishe Tz na Kenya kwenye umaskini? Una kichaa sio bure.
Mimi naifananisha kutumia data. Wewe unaifananisha kutumia empty rhetoric na matusi. A very big difference!

Na hiyo ni ripoti ya serikali yenu unapinga. Continue living in denial bongolala
 
At least nchi yetu haijatoa even one of the biggest slums in the world [emoji38][emoji38]
Kenya, Nigeria, South Africa, India, etc. mpo level moja kwenye umasikini uliokubuhu[emoji706][emoji706]
Umegeuza gear hewani as you always do just because you can't defend your own assertions. Mibongolala, mtatapatapa hadi lini?
 
Hivi hujui kwamba South Afrika Kuna maelfu ya watu hawana uwezo wa kujilisha wanategemea kuishi kwa msaada wa chakula Kama Kenya?, Hujui kwamba kushindwa kupata chakula ndiyo kipimo Cha mwisho Cha kupima umasikini wa watu?
If you can't provide anything to prove your claims, you better keep quite
 
If you can't provide anything to prove your claims, you better keep quite

Hivi unaelewa unaloambiwa au una uwezo mdogo wa kuelewa?, USA ni nchi tajiri au masikini?, Kwani USA hakuna masikini?, Ulishasikia Dunia ikisema USA ni masikini?.

Duniani nchi nyingi Sana Kuna slums, lakini kwa asilimia ndogo Sana, Kama slums au umasikini au crime rate ni ndogo Sana, hizo nchi zinatajwa katika kundi la 1)slums free countries, good example is USA, Tanzania, Australia and Canada[emoji23][emoji23][emoji23]
Unafurahishanga kweli. 😂
 
Kenyans.co.ke?😃
Kende zenu
maxresdefault.jpg
 
Mapambano yanaendelea. Tumeweza kuwaamusha watanzania.
Sasa hatua inayofuata ni kuanza kuwafanya watanzania waanze kutumia uelewa wao na kuweza kufanya uwekezaji mkubwa.

Kupitia thread hii tayari tumeweza kuichangamsha serikali na kuwaonensha Watanzania namna walivyo na uwezo.

Kwa sasa wakenya hawana lolote walichobaki nacho ni malalamiko na kejeli ambazo hazina vichwa wala miguu.

Nawapongeza wote mlioendeleza hii thread wakati mimi sipo.
Nilikuwa mbali na nimebanwa na masomo nchi zingine.

Kwa sasa nategemea kurejea Tanzania hivi karibuni.

ASANTENI
Karibu sana mkuu na pole kwa masomo [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Mapambano yanaendelea. Tumeweza kuwaamusha watanzania.
Sasa hatua inayofuata ni kuanza kuwafanya watanzania waanze kutumia uelewa wao na kuweza kufanya uwekezaji mkubwa.

Kupitia thread hii tayari tumeweza kuichangamsha serikali na kuwaonensha Watanzania namna walivyo na uwezo.

Kwa sasa wakenya hawana lolote walichobaki nacho ni malalamiko na kejeli ambazo hazina vichwa wala miguu.

Nawapongeza wote mlioendeleza hii thread wakati mimi sipo.
Nilikuwa mbali na nimebanwa na masomo nchi zingine.

Kwa sasa nategemea kurejea Tanzania hivi karibuni.

ASANTENI
Tunakushukuru sana Kiongozi, ulianzisha kitu chema na kinaishi, nadhani hii ndio thread ndefu kuliko zote JF na haiiishi kesho😅😅

Aluta Continua.
 
Back
Top Bottom