Tanzania Kuna matatizo Kama ilivyo Kenya na nchi zingine masikini, ila viwango ni tofauti Sana, hata USA Kuna slums, lakini katika kiwango kidogo Sana, Ulaya wapo watu masikini lakini wachache Sana, hizo nchi zote hazipo katika kundi la nchi zenye slums Wala nchi masikini, japo Kuna slums na watu masikini.
Tanzania tunazo slums Kama zilivyo USA, Tanzania Kuna Rushwa Kama ilivyo Botswana, Mauritius na Ghana, tuko na Police brutality kwa kiwango kidogo, lakini hivyo vyote ni kwa kiwango kidogo Sana, hivyo ni haki kusema Tanzania hatuna shida ya Slums, Njaa, police brutality au Tribalism (they are negligible)