babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Hata India na South Africa zina per capita income kubwa kuliko Tanzania lakini kuna very extreme poverty more than our country.
Sioni faida ya kuwa na uchumi mkubwa unaonufaisha wachache, heri kuwa na uchumi wa wastani unaonufaisha wengi
Hivi kuna extreme poverty inayozidi kupokea misaada ya chakula na kufa njaa?
