Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,082
- 17,803
Nchi yenye watu masikini zaidi hapa EA wanajulikana vizuri sanaModel za magari ni ya zamani sana. Unatuonesha namna wakenya walivyo maskini.
Nchi yenye watu masikini zaidi hapa EA wanajulikana vizuri sanaModel za magari ni ya zamani sana. Unatuonesha namna wakenya walivyo maskini.
Njaa ikiisha kenya uje tuongee. Je mama Ngina bado yupo kwenye utawala?Kwa hivyo leo Tanzania kuna slums? Mibongolala mnachekesha sana! Leo mnasema hii, kesho mnasema kingine bora muonekane mumeshinda mjadala. Watu hovyo sana
Maisha mabaya inapimwa na scientific data bongolala. Si maneno ya kutoa akilini ukishavuta bangi kama unavyofanya hapa. You need to back up your claims with evidenceAt least Tanzania hatuna maisha mabaya hivyo [emoji1784][emoji1784]
Uzuri wengi wetu hatujui hata njaa ni nini. Endelea kujiliwaza na kujifarijiNjaa ikiisha kenya uje tuongee. Je mama Ngina bado yupo kwenye utawala?
Sisi tunaongea by statisticsNchi yenye watu masikini zaidi hapa EA wanajulikana vizuri sana
Je, mama Ngina yupo kwenye utawala?Uzuri wengi wetu hatujui hata njaa ni nini. Endelea kujiliwaza na kujifariji
What's the difference between statistics and data? Alafu eti nyinyi ndio wasomi wa Tanzania humu ndani 😂😂😂😂Sisi tunaongea by statistics
Very characteristic of a bongolala akishashindwa kwenye hojaJe, mama Ngina yupo kwenye utawala?
Mungu awasaidie tu. Halafu wewe mshamba wa kibera uniulize mimi msomi?What's the difference between statistics and data? Alafu eti nyinyi ndio wasomi wa Tanzania humu ndani 😂😂😂😂
Useless to the core!!
Umeshindwa kujibu swali au dharau. Unamjua mama Ngina?Very characteristic of a bongolala akishashindwa kwenye hoja
Usijifanye kipofu hii umeiona?Uzuri wengi wetu hatujui hata njaa ni nini. Endelea kujiliwaza na kujifariji
Bongolala, kama wewe ni msomi then Tanzania has a long way to go. Your arguments here and how you respond to queries say a lot about you and your level of education. If you can't even read to understand your own links how are we supposed to understand you? Your link clearly mentions more than three countries and you are asking me if Kenya has 146 million people. Wewe ni mjinga tu, kubali yaishe!Mungu awasaidie tu. Halafu wewe mshamba wa kibera uniulize mimi msomi?
Haya twende taratibu. 146million. Population of Kenya is 50million it means all Kenyans wanakufa na njaa.
View attachment 2524739
23 million Kenyans living below poverty line. Can you compare that with 28 million people in your country living in extreme poverty? And please, underline the word EXTREMEUsijifanye kipofu hii umeiona?
View attachment 2524741
Hahaha??? Nadhani joto unaipata. Kitu ulichoandika hapa ni matapishi. Sisi tunaongelea reality. You writing imaginary thingsBongolala, kama wewe ni msomi then Tanzania has a long way to go. Your arguments here and how you respond to queries say a lot about you and your level of education. If you can't even read to understand your own links how are we supposed to understand you? Your link clearly mentions more than three countries and you are asking me if Kenya has 146 million people. Wewe ni mjinga tu, kubali yaishe!
Evidence yako ipo wapi? Mwanangu? Unaongea utumbo tu.23 million Kenyans living below poverty line. Can you compare that with 28 million people in your country living in extreme poverty? And please, underline the word EXTREME
Ni matapishi kwako because it is a bitter pill. Wewe ni mjinga ila utaerevuka tu siku mojaHahaha??? Nadhani joto unaipata. Kitu ulichoandika hapa ni matapishi. Sisi tunaongelea reality. You writing imaginary things
View attachment 2524750
Hahahahaha source World Bank.Ni matapishi kwako because it is a bitter pill. Wewe ni mjinga ila utaerevuka tu siku moja
Leo mpaka maji uyaite mma. Most poor countries in the WorldNi matapishi kwako because it is a bitter pill. Wewe ni mjinga ila utaerevuka tu siku moja
Tanzania Kuna matatizo Kama ilivyo Kenya na nchi zingine masikini, ila viwango ni tofauti Sana, hata USA Kuna slums, lakini katika kiwango kidogo Sana, Ulaya wapo watu masikini lakini wachache Sana, hizo nchi zote hazipo katika kundi la nchi zenye slums Wala nchi masikini, japo Kuna slums na watu masikini.Kwa hivyo leo Tanzania kuna slums? Mibongolala mnachekesha sana! Leo mnasema hii, kesho mnasema kingine bora muonekane mumeshinda mjadala. Watu hovyo sana