Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So you didn't even open the link uone taarifa ni ya 2022 and you are here writing ten pages and saying nothing. Bongolala, hii taarifa ni ya 2022
Sasa wewe uko na shida ya akili au ni nini, tukisema Kenya Kuna Rushwa Sana, hiyo Haina maana kwamba Tanzania au nchi zingine haiko, tunacholinganisha ni viwango vya Rushwa, Sasa wewe unalinganishaje 50 unclaimed bodies in Tanzania vs 240 bodies of Kenya?
 
Ulisema Tanzania hakuna kitu kama hicho and even went ahead to say it's a sign of poverty in Kenya. Now the beats have changed after nimekushika kende! What a poor,bitter soul you are!
 
Hiyo ndio data yako bongolala? Hiyo taarifa imetaja ni watu wangapi wanaishi chini ya dollar moja kwa siku? Imetaja HDI ni ngapi? Keep digging!
At least Tanzania hatuna maisha mabaya hivyo
 
Ulisema Tanzania hakuna kitu kama hicho and even went ahead to say it's a sign of poverty in Kenya. Now the beats have changed after nimekushika kende! What a poor,bitter soul you are!
Huna akili wewe, onyesha wapi nimesema Tanzania hakuna kitu Kama hicho, Wewe ni chizi kabisa.

Hapa tunalinganisha na kushindanisha Kenya na Tanzania, hivi unajua maana ya kulinganisha na kushindanisha vitu viwili?.

Wacha kujitetea, tunaposema Kenya Kuna njaa, Rushwa, wizi, ujambazi, umasikini, police brutality, ukabila, na slums, Ina maana katika akili yako tunamaanisha kwamba hivyo vitu havipo kabisa Tanzania?, Punguza ujinga.
 
Hivi hii ni shida ya JKIA tuu ama ni tabia ya Wakenya?

broadwalk_residency_1676923272991968.jpg
 
Huna akili wewe, onyesha wapi nimesema Tanzania hakuna kitu Kama hicho, Wewe ni chizi kabisa.

Hapa tunalinganisha na kushindanisha Kenya na Tanzania, hivi unajua maana ya kulinganisha na kushindanisha vitu viwili?.

Wacha kujitetea, tunaposema Kenya Kuna njaa, Rushwa, wizi, ujambazi, umasikini, police brutality, ukabila, na slums, Ina maana katika akili yako tunamaanisha kwamba hivyo vitu havipo kabisa Tanzania?, Punguza ujinga.
Kwa hivyo leo Tanzania kuna slums? Mibongolala mnachekesha sana! Leo mnasema hii, kesho mnasema kingine bora muonekane mumeshinda mjadala. Watu hovyo sana
 
Back
Top Bottom