Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Roysambu
teMO0P8.jpg
Next to Roysambu is Zimmerman
IMG_20230216_104028.jpg
IMG_20230216_104104.jpg
 
Mapambano yanaendelea. Tumeweza kuwaamusha watanzania.
Sasa hatua inayofuata ni kuanza kuwafanya watanzania waanze kutumia uelewa wao na kuweza kufanya uwekezaji mkubwa.

Kupitia thread hii tayari tumeweza kuichangamsha serikali na kuwaonensha Watanzania namna walivyo na uwezo.

Kwa sasa wakenya hawana lolote walichobaki nacho ni malalamiko na kejeli ambazo hazina vichwa wala miguu.

Nawapongeza wote mlioendeleza hii thread wakati mimi sipo.
Nilikuwa mbali na nimebanwa na masomo nchi zingine.

Kwa sasa nategemea kurejea Tanzania hivi karibuni.

ASANTENI
Welcome back bro
 
Back
Top Bottom