Hii mijumba ya udongo isiyo na madirisha huwa mnalaza nguruwe za aina gani? Kwani zinaweza kufa na mkapata hasara ya mifugo yenu!Roysambu
![]()
The biggest and the busiest port in the region.
![]()
Tanzania tumejitahidi sana kuondokana na hayo mazingira ya ki third world kwenye roads zetu nyingi, zinakaa ulaya kabisa mpk uambiwe.Na kwa jinsi wanavyoneglect maeneo haya wanaharibu kila kitu . Kitu kizuri lakini sura ya Third world ipo pale pale
View attachment 2525469
Model za magari ni ya zamani sana. Unatuonesha namna wakenya walivyo maskini.
Pitia hapa wacha mdomo, Tz naijua vizuri your cars are older models than kenya
Shida unachukua pic ya waki install that yellow foot bridge ebu tafuta latest picNa kwa jinsi wanavyoneglect maeneo haya wanaharibu kila kitu . Kitu kizuri lakini sura ya Third world ipo pale pale
View attachment 2525469
Saa hii hapo kati ni rundo la takataka!Shida unachukua pic ya waki install that yellow foot bridge ebu tafuta latest pic
Hii Dunia ya Mungu hupaswi kujipiga kifua na kujifanya wewe ni Bora na mjuaji kuzidi wengine.joto la jiwe habari kamili ishawafikia
Mkenya ni mtu ambae yuko tayar kufa njaa na familia yake lakini nje aonekane ana pesa na anahali nzuri ukienda nairobi utakutana na watu wanaishi kibera kwenye makazi ya nguruwe lakini ukiwakita town utawaona wamevaa suti kwenye jua kali 🤣🤣🤣 na mkenya hawez kukupeleka anakoishi hata kwa bundukiHii Dunia ya Mungu hupaswi kujipiga kifua na kujifanya wewe ni Bora na mjuaji kuzidi wengine.
Hiki kinachotokea Kenya ni adhabu ya Mungu kwa Kenya, kuwakumbusha kwamba wao si lolote Ili wapunguze ujinga wao wa kujiona eti ni matajiri.
Kenyas GDP is equal to gdp of Uganda + Tanzania