NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Tanzania hatupati misaada ya vyakula and other stories.....
Hii tweet yafaa tuihifadhi. Tukiwaambia tofauti yao nasi media zao haziko huru hawaskii. 🤣 🤣 🤣
Utawaskia wakisema Kenya inapokea chakula kutoka nchi za jangwa kumbe wao ndio no. 1. kwa hilo. 🤣🤣
Alafu angalia vijumba vilivyochakaa na sehemu yenyewe sii jangwa.


