Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamiiforums imewaamsha sn hawa kenge la sivyo wangekufa kihoro mana wameongopewa sn, sasa kukosa JF wangestukia wameachwa mbali na hapo ndipo vingetokea vifo vya ghafla vingi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama umekuwa ukijiuliza kwa nini Wakunya wanaichukia Tanzania, hili ni moja ya majibu ya swali lako
Mambo ambayo huwezi kuyakuta Kundustan [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20230216-134425.jpg
 
Tuje upande wa Tanzania mzigo ni
Imewekwa kabisa kwenye USD = 2,057,200,000.00

Sasa calculation za kawaida Nov kenya ni USD 606,828,491.77
Tanzania Sept 2,057,200,000.00
2,057,200,000.00 - 606,828,491.77 = USD 1,450,371,508.23

Kumbuka Tanzania imeweka ya mwezi wa nyuma. Data zikiwekwa kwa miezi sawa hawa wakenya watakimbia.
1676545591489.png
 
Ni vizuri kabisa na jambo jema mtanzania akaenda kufanya kazi ya halali popote duniani lakini sio kwa kukimbia Tanzania, iwe ni option yake binafsi na motive isiotokana na shortcomings zinazotokana na corrupted systems kama Kenya, Tanzania saivi vijana wanapewa mpaka hectares 10 na serikali bado zipo opportunities nyingi unaweza kuzitumia endapo utakua mwenye nia, hii ifanye elimu tuliopata inanufaisha jamii sio cream yote ipo abroad nyumbani wamebaki vilaza kama Kenya hata kulima hawawezi wa nasubiri remittances
Hawa ombaomba kutoka danganyika wanalala barabara Kenya kwa hiari yao? 🤣 🤣 🤣
 
Tunakuja tena kwenye Capital Flows

Kenya vs Tanzania

What Are Capital Flows? Capital flows refer to the movement of money for the purpose of investment, trade, or business operations. Inside of a firm, these include the flow of funds in the form of investment capital, capital spending on operations, and research and development (R&D)

Kenya Capital Flows 2022 Nov = USD -5,248,800,000.00 yaani hapa wapo kwenye Negative
Tanzania Capita Flows 2022 Jun= USD 568,400,000.00

Sasa hivi kweli bado wanaongelea mambo ya uchumi hawa jamaa?
 
Wazee wa boom and bust economy. Ukiona telltale signs za bust lazima uchomoe hela yako huko isije ikapotea.
 
Tunakuja tena kwenye Capital Flows

Kenya vs Tanzania

What Are Capital Flows? Capital flows refer to the movement of money for the purpose of investment, trade, or business operations. Inside of a firm, these include the flow of funds in the form of investment capital, capital spending on operations, and research and development (R&D)

Kenya Capital Flows 2022 Nov = USD -5,248,800,000.00 yaani hapa wapo kwenye Negative
Tanzania Capita Flows 2022 Jun= USD 568,400,000.00

Sasa hivi kweli bado wanaongelea mambo ya uchumi hawa jamaa?
@Nicxie
 
We unadhani kuzidiwa exports na nchi mliyodhani mmeizidi ni jambo zuri? Inauma sana na kwa jinsi tulivyoset mitambo yetu itakapofika 2025 tutakuwa tumewa triple kwenye exports alafu wao watakuwa wametu triple kwenye importation. Kumbuka tutakuwa tushafika GDP ya $200b kutoka hii ya sasa $150b.
 
Back
Top Bottom