Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna akili wewe. Kwanza hata Kwa macho yako ukimuangalia yule jamaa ana njaa kweli!? You dumbass!

Pili,ule ni msaada wa mwezi wa Ramadan. Watanzania wanawasaidia watanzania wenzao! Kenya roho zenu mbaya sana huezi elewa hilo!

Tatu, umeona lebo ya WFP au USAID kwenye bidhaa yoyote pale. Kila kitu alichopewa ni locally made brands. Unga ni Azam, mafuta ni Mo, sukari ni Bagamoyo sugar (Azam)

Ila kwa sababu your mental capacity ni ndogo. Najua huezi changanua lolote.

Nyang'au jinga wewe!!!
😂😂😂 Halafu mwenye njaa sio mlalamishi haoni huyo jamaa kapewa chakula lakini bado analalamika maana yake hakuwa na tatizo la njaa ila anataka tu kubadilisha mboga 😂😂😂
 
Public bus ni ya kubeba mwananchi wa kawaida anayelipa ksh 20 to ksh 70 kama fare. Sio ya upper class, well pia hao wanaweza kuzitumia sio restricted... So what's your point.
Ndio hizo bus tano zikasaidie mamilioni ya wakazi wa ka Nairobi?

Sisi tuna basi zaidi ya 100 za BRT plus dala dala na hazitoshi, nyie wakundustan ni wendawazimu, mmeona BRT system ya Tz imefaulu mkaiga, kuiga mazuri hatukatai, tatizo nyie mmeiga sio kwa ajili ya ku save wananchi bali lengo lenu ni kuijibu BRT system ya Tz na hapo ndipo mnapofeli, yn kila kitu mnataka kushindana na Tz.

Mfano hata baharini mlipoona tunatengeneza meli kubwa zaidi EA nanyi mkachukua tax payers money mkaenda kujenga mtumbwi mwisho wake mtumbwi wenyewe juakali unazama badala ya kuelea, mpk leo haueleweki uko wapi
 
Ni vizuri kabisa na jambo jema mtanzania akaenda kufanya kazi ya halali popote duniani lakini sio kwa kukimbia Tanzania, iwe ni option yake binafsi na motive isiotokana na shortcomings zinazotokana na corrupted systems kama Kenya, Tanzania saivi vijana wanapewa mpaka hectares 10 na serikali bado zipo opportunities nyingi unaweza kuzitumia endapo utakua mwenye nia, hii ifanye elimu tuliopata inanufaisha jamii sio cream yote ipo abroad nyumbani wamebaki vilaza kama Kenya hata kulima hawawezi wa nasubiri remittances
Ukitaka kuamini kwamba Watz huwaambii kitu kwa nchi yao angalia Watz wengi walio nje hasa ulaya na Amerika wameoa au kuolewa huko lkn wengi wao hawataki kubadili uraia, hizi kesi nmekutana nazo nyingi sana, nawaulizaga mbn wewe hujabadili uraia, mtu anakwambia haitokaa itokee, Tz tamu sana kule tunatafuta pesa tuu lkn asikuambie mtu Tz ni nchi moja tamu sana.

On the other hand wanapita Wakenya, waganda, wacongo n.k wana passport za ulaya na Amerika lkn ukiangalia alipozaliwa ndio utajua huyu alibadili uraia.

Hawa Wakenya wa humu tunabishana nao ili kujifurahisha tu siku ziende lkn ukweli upo wazi kabisa hata wao wanajua, 99% ya Wakenya humu kama itatokea kubadili uraia na kupata passport ya Tz watakimbilia popote pale walipo lkn siamini kama kuna mtz humu anataka kuwa mkenya, na kama wapo basi hawafiki hata 5% truth to be told.
 
Tujadili nani kati ya Tanzania na Kenya anayebaki na pesa nyingi Kama faida baada ya kufanya biashara kati ya hizi nchi mbili, lengo la biashara ni kupata faida
Screenshot_20230214-142353~2.png
 
Kwan ww dodoma huoni kinachonengwa ?? Miradi inayojengwa dodoma inathaman kubwa kuliko miradi yote inayoendelea kenya nzima hio magufuli city mpaka kukamilika kwake ni 4.5b usd hapo bado ring roads, msalato int airport etc au ww unataka uoneshwe nn kuhusu dodoma 🤣

Na kuhusu bagamoyo port ilismama ujenzi kwa muda kutokana na mikataba mibovu ila kwasasa tena ujenzi umerudi tena


Nimekuambia unionyeshe render bongolala
 
Wakenya ukiwapa data ya kuwazidi kwenye exports wanapotea, yn wanaumia sn na wanaona kumbe kweli GDP yao ni ya mchongo. Just imagine tunawazidi exports ktk kuuziana sisi kwa sisi yn Kenya ina import zaidi kutoka Tz kuliko ku export, na kinachowauma zaidi ni kwamba tumepiga gape kubwa la karibu $200m.

Lkn pia hata ukiangalia exports za jumla yn Tz annual export ni kubwa ukilinganisha na Kundustan annual export, hii inawauma sana
 
Back
Top Bottom