Wanaanza kulalamika
Ikiwa zanzibar 😍




Huo umeme ni nani anazalisha hapa Tanzania? Umeme wote hapa Tanzania ñi wa Tanesco hata kama kuna mtu anazalisha sisi walaji tunamlipa Tanesco maama ndie mwenyewe transmission na distribution pamoja na production.Nadhani wewe ndio hujaelewa mkuu.Umeme unaweza ukachukuliwa Kidatu,Songasi au Nyereree Hydro Power etc na usiwe wa tanesco.Tanasco anapokea kwa mzalishani ,andafirisha na kuuza.Hivyo serikali unaweza kudesgnate njia huru for SGR.
Angalia hiyo video ya Dodoma utaziona. Besides we manufacture our own traffic lights in Tanzania hatuagizi nje.Nionyeshe traffic lights hapo Dodoma.![]()
So tell us how does rice qualify to the definition ya raw materialsKubali nimekupa somo kuhusu rice kuwa raw material yaishe. You didn't know it is but now you know and you should thank me for that!
A raw material is any substance used in the primary production or manufacturing of goods. So iron tunayowauzia is still a raw material if it's used to manufacture another good.
The point was that we sell to you mostly processed (finished) goods wakati nyinyi mnatuuzia unfinished goods kwa wingi.
Ulisema na ukatoa angalizo.Hio cruiser ship ndo imeondoka usiku huu kuelekea comoros.. current location yake ndo hii mda huu
Imeondoka leo saa 00:11 UTC ambayo ni sawa na saa 3 dakika 11 usiku huu
View attachment 2518750
Yan kenya imekaa chin ya masaa 10 lkn bongo (zanzibar) imekaa siku mbili tokea usiku wa tar 13 hadi leo tar 15
Sasa unataka tujadili ni gani expensive kati ya finished product na unfinished product?Who gets more money between Kenya and Tanzania?
Mchele na mahindi mnayonunua toka Tanzania 98? Vinatumika kwa ajili ya chakula Cha binadamu na wanyama, huwezi kuita "raw materials wewe pimbi.
Kwahiyo sabuni pia ni "raw materials huku kwetu kwasababu pia tunazitumia kutengenezea sumu ya panya na wanyama waharibifu mazao?.
I already listed products zinazotengenezwa kutumia rice. Kama hukuziona basi uliza joto la Jiwe akujuze ni vitu aina gani coz elimu ya bure kuhusu rice as a raw material nilishampa hadi akainua mikono juuSo tell us how does rice qualify to the definition ya raw materials
"A raw material is any substance used in the primary production or manufacturing of goods" na hii definition umeiweka wewe kwenye post yako lakini bado huoni kama kuna kitu hakijakaa sawa.
Elimu ya Kenya ni useless kabisa.
Tuonyeshe render ya Dodoma na mnachojenga kisha umalizie na render ya Bagamoyo port na utuonyeshe "mlichojenga" so farMirad ya Tz haitoki nje ya renda.
Over 14 good years bado muna hara hara hapa 🤣🤣🤣 hakuna investment ya maana munafanya zaidi ya kufaidisha wenye nacho tu huku maskini anaendelea kua fukara ndio maana hata sishangai kuskia matajiri wanne wana utajiri wa watu million 24, hata hizo miradi ukifatilia vzr utakuta nyuma yake kuna maslahi ya politiciansAre all Tanzanians on JF insane!? You don't know what concept rendering idea is!? A render for développement is picked from many concept renders.
And for a large city, zone concepts are rendered, but specific construction designs are done by the investor who will be building their business although in line with the concept. Tanzanians!!
Kwan ww dodoma huoni kinachonengwa ?? Miradi inayojengwa dodoma inathaman kubwa kuliko miradi yote inayoendelea kenya nzima hio magufuli city mpaka kukamilika kwake ni 4.5b usd hapo bado ring roads, msalato int airport etc au ww unataka uoneshwe nn kuhusu dodoma 🤣Tuonyeshe render ya Dodoma na mnachojenga kisha umalizie na render ya Bagamoyo port na utuonyeshe "mlichojenga" so far