Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There is nor country in the world which built it's economy through Remittances, actually Remittances can cause harm to the economies if not we'll regulated.

You need to go outside and bring back technologies and machineries to build the country's economy from within, to enable people to built the economy of the country.

Yes, for short term, Remittances can help some few people, but one of the biggest problem of Remittances is " inflation".
Do you know how many companies exist in Kenya through foreign remmitances? Do you know that most kenyans who work abroad come back home after building companies and eliviating their families out of poverty? How many real estates, infrastructures, hotels...damn the biggest hospital in kenya under construction is by a kenyan living abroad.. i could go on, if that ain't "building economy" I don't know what is..
 
There is nor country in the world which built it's economy through Remittances, actually Remittances can cause harm to the economies if not we'll regulated.

You need to go outside and bring back technologies and machineries to build the country's economy from within, to enable people to built the economy of the country.

Yes, for short term, Remittances can help some few people, but one of the biggest problem of Remittances is " inflation".
That guy is doomed, can't even understand remittance is a form of intellectual drainage? Angalau kwa Kenya remittance kubwa inatoka from unskilled labor lakini kama ni skilled labor maana yake taifa limeibiwa rasilimali watu waliowalea na kuwasomesha kwa gharama kubwa then wanaenda kutumika kuendeleza chumi za wengine, hilo halipo sawa na Marekani imeendelea kwa kutumia foreign intels (immigrants), wahindi and other Asians ndio propellers wa Silicon Valley ambayo ndio roho ya uchumi wa Marekani
 
Brathe acha kutafutia Kenyans makosa, the truth hurts I know... Nionyeshe mahali Tanzanían music has been banned in kenya... How do you translate "Play kenyan content" as "ban Tanzanían music" or "buy Kenyan" as "ban Tanzanían "
Your comments are very lame..no basis entirely
Ngoja nikuambie, Tanzania ni nchi huru Kama mlivyo ninyi, tunafanya vile tunapenda, hamuwezi kulazimisha tufanye vile ninyi mnapenda.

Tulimkataa CEO kutoka Kenya, tulichoma vifaranga na mengine mengi, kwa faida ya nchi yetu na watu wetu.

Mlizuia ndege toka Tanzania, mlizuia malori toka Tanzania mkidai mahindi yalikua na sumu ya "aflotoxon" kwa faida yenu na watu wenu, mbona sisi hatulalamiki miaka yote?.

Tanzania na Kenya hatupendani, huo ndio ukweli, ukiona Tanzania tunanunua bidhaa ya Kenya, basi ujue hiyo bidhaa Iko na ubora wa juu kuzidi bidhaa za Tanzania.

Kenya mnapenda Sana muziki wa Tanzania, kwasababu wanamuziki wa Tanzania ni Bora kuliko wa Kenya, bidhaa zetu zinazokuja huko ni Bora kuliko za Kenya, vyakula vinakuja huko kwasababu ni Bora na "cheaper" kuliko vya Kenya.
 
Bro, one of big the reason watu hutoka makwao kwenda nchi zingine ni kutafuta maisha mazuri tofauti na ya kwao, sasa Wabongo bado hawajaona kwamba wanatakiwa kutoka bongo kwa kasi ya majirani zetu kwenda nchi zingine, wengi bado tunaamini we can find a green pasture hapa na sio kwamba hatuwezi kwenda huko kwingine kutafuta kazi hata za kuosha vyombo.

Mimi huwa nadhani ni indication mbaya nchi ‘kukimbiwa’ na raia wake kwenda kutafuta maisha kwingine, sikujua kumbe wenzetu mnaona ni jambo la
Kifahari, ni suala la kushindana. Nilishangaa sana Ruto anawaahidi Wakenya kuwajaza Korea, kiufupi ni kama alikuwa anawaambia nchi yenu imeshindwa kuwatengenezea fursa za ajira, ngoja nijaribu kuwaomba hawa jamaa hapa kama watatusaidia kwa chochote. Ni aibu sana kufanya hivi kama kiongozi wa juu kabisa wa nchi. Basi tu.
 
Umezingua sana. that was petty enough.
Pettiness ni hii tabia yenu ya kutokubali kuambiwa ukweli. Mtanzania yeyote akiwaambia ukweli mnaanza kumbandika majina hadi kushuku uraia wake.
Kama una contrary opinion si muweke hapa muache personal attacks. Ni time mgrow up
 
Nenda Saudia kadeki vyoo uongeze remittance Tanzania mbona simple tu unataka Watanzania waishi maisha ya kishetani kama wakunya ili tufanane nao kwenye statistics? Kenya ni taifa la kifukara na hakuna chochote mkenya anaweza kufanya ndani ya Kenya akafanikiwa tofauti na ufisadi ndio maana wote wanaenda kufanya kazi za shuruba nje ya nchi ili wasife njaa!
Most of the remittance kenya inapata, over 80% ni kutoka US na UK
 
That guy is doomed, can't even understand remittance is a form of intellectual drainage? Angalau kwa Kenya remittance kubwa inatoka from unskilled labor lakini kama ni skilled labor maana yake taifa limeibiwa rasilimali watu waliowalea na kuwasomesha kwa gharama kubwa then wanaenda kutumika kuendeleza chumi za wengine, hilo halipo sawa na Marekani imeendelea kwa kutumia foreign intels (immigrants), wahindi and other Asians ndio propellers wa Silicon Valley ambayo ndio roho ya uchumi wa Marekani
Kila kitu ambacho majirani wametuzidi ndio kibaya kikiwa kwetu ni kizuri,muache upuuzi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni taahira, tumewapita Kenya kwenye export almost kwa tofauti ya dollars billions 5 unafikiri manpower iliofanya hiyo export imetoka Korea? On the other hand Kenya is importing 5 times eclipsed the export, huoni tatizo hapo?

Less than 2 million kunyans abroad are working hard than 57 million kunyans within kunyaland

View attachment 2518003View attachment 2518002
Hii ni aibu, haiwezekani nchi production ya ndani inadoda sababu human capital yake cream yote iko nje inapambana kukuza nchi za watu. Nchi yenye natural resource za kutosha ni aibu kwenda kufanya kazi kwenye nchi zingine. Brain drain was desgined kwa nchi zisizo na natural resource ambazo zinawekeza kwenye kudevelop its human capital ili kutap opportunities kwenye nchi zenye much natural resources. Let’s Afrika fight this braindrain insteat of embrace it. Mtu anayejisifia huu upuuzi au uchumi wa kichuuzi namna hii namshangaa sana.
 
The biggest consumers of Tanzanían music are Kenyans
Hata mimi natumia Kenyan products, these two car batteries bought a month apart are made in Kenya.
Rather than buying Chinese batteries I opted for these coz they are cheaper and of 'good' quality.
20230215_082209.jpg
20230215_073443.jpg
 
Uganda ni fukara mkuu kama Kenya tu, kuna mganda nafahamiana nae hataki hataki kabisa kuisikia Uganda, anasema ni mara 100 afanye kazi ngumu Tanzania kuliko kurudi Uganda sababu ya umasikini uliopea

Nyinyi pamoja na DRC mnaongoza EAC kwa kuwa na wananchi wengi wenye extreme poverty kwa mujibu wa world bank. Nyinyi ni maskini kuliko waganda
 
Kila kitu ambacho majirani wametuzidi ndio kibaya kikiwa kwetu ni kizuri,muache upuuzi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hawawezi kutuzidi kila kitu na sisi hatuwezi kuwazidi kila kitu ila kama kunakitu wametuzidi weka evidence kuokoa muda.

Mfano nilikuwa nasubiria evidence kuwa Uganda wako mbele ya Tanzania kwa ICT ila bado sijaona any credible evidence.
 
Back
Top Bottom