Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona vichekesho tu 🤣🤣🤣 kazi yenu ninkupoteza pesa za tazpayers kwenye miradi hewa na isio na kichwa wala mguu
mradi kama huo ingekuwa ni Tanzania ungisifia na kusema vile Dar ni New York. Lakini kwa sababu iko Nairobi, ni kupoteza pesa ya taxpayers. Uko na shida sana wewe mwarabu
 
Makumbusho

IMG_5372.jpg
 
mradi kama huo ingekuwa ni Tanzania ungisifia na kusema vile Dar ni New York. Lakini kwa sababu iko Nairobi, ni kupoteza pesa ya taxpayers. Uko na shida sana wewe mwarabu
Siwezi sifia miradi ambayo imewazidi kichwa budaa 🤣🤣🤣 yani miradi ukiangalia kwa macho unaona kabisa pesa za tax payers zinakwenda na maji
Mulikuja mbio na BRT kukapoteza millions of money kwenye kupaka lipstick thika hatimae ikabakia white elephant
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ndio render hebu tuoneshe just 1% of it sasa hvi na ukumbuke ni over 14 yrs now View attachment 2518560View attachment 2518561View attachment 2518562
Are all Tanzanians on JF insane!? You don't know what concept rendering idea is!? A render for développement is picked from many concept renders.
And for a large city, zone concepts are rendered, but specific construction designs are done by the investor who will be building their business although in line with the concept. Tanzanians!!
 
Mirad ya Tz haitoki nje ya renda.
 
Nipo Kwenye kelele sikusikii!

Hio cruiser ship ndo imeondoka usiku huu kuelekea comoros.. current location yake ndo hii mda huu
Imeondoka leo saa 00:11 UTC ambayo ni sawa na saa 3 dakika 11 usiku huu
Screenshot_20230215-233100_Chrome.jpg

Yan kenya imekaa chin ya masaa 10 lkn bongo (zanzibar) imekaa siku mbili tokea usiku wa tar 13 hadi leo tar 15
 
Kubali nimekupa somo kuhusu rice kuwa raw material yaishe. You didn't know it is but now you know and you should thank me for that!

A raw material is any substance used in the primary production or manufacturing of goods. So iron tunayowauzia is still a raw material if it's used to manufacture another good.

The point was that we sell to you mostly processed (finished) goods wakati nyinyi mnatuuzia unfinished goods kwa wingi.
Who gets more money between Kenya and Tanzania?

Mchele na mahindi mnayonunua toka Tanzania 98? Vinatumika kwa ajili ya chakula Cha binadamu na wanyama, huwezi kuita "raw materials wewe pimbi.

Kwahiyo sabuni pia ni "raw materials huku kwetu kwasababu pia tunazitumia kutengenezea sumu ya panya na wanyama waharibifu mazao?.
 
Hio cruiser ship ndo imeondoka usiku huu kuelekea comoros.. current location yake ndo hii mda huu
Imeondoka leo saa 00:11 UTC ambayo ni sawa na saa 3 dakika 11 usiku huu
View attachment 2518750
Yan kenya imekaa chin ya masaa 10 lkn bongo (zanzibar) imekaa siku mbili tokea usiku wa tar 13 hadi leo tar 15

Kuna picha za hiyo [emoji568] zilipostiwa humu juzi tukitambiwa.
 
Back
Top Bottom