Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili sio jukwaa la udaku kama haujasoma rudi kwenye thread zako za udaku.

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unaposema eti wanatuzidi "remittance" sijui wewe unaelewa nini kuhusu rimitens, ndio maana nakushangaa.

Wametuzidi rimitens maana yake ni hivi:

"Tanzania ni nchi nzuri sana, yenye usalama, uongozi mzuri na yenye kukizi mahitaji ya raia wake ndio maana idadi ya Watanzania nje ni ndogo sana. Yaani Watanzania hawana sababu za kukimbia inchini kwao kutafuta maisha bora kwingine.

Watu wanakimbia nchi kwa sababu za kiusalama, maisha magumu. Ndio nchi kama Nigeria, Ethiopia, Kenya, na hao Uganda. Yaani wapo huko nje wanafanya vibarua vya kudhalilisha utu na kupeleka hela home"

Sasa wewe nawe ulivyo unavyiojijua wewe, unataka tushindane nao kukimbia Tanzania kwenda kuosha vyombo na kufua nguo Saudi Arabia na kwingineko. Ndio maana tunakuuliza kama wewe ni mzima 😂
 
Unaposema eti wanatuzidi "remittance" sijui wewe unaelewa nini kuhusu rimitens, ndio maana nakushangaa.

Wametuzidi rimitens maana yake ni hivi:

"Tanzania ni nchi nzuri sana, yenye usalama, uongozi mzuri na yenye kukizi mahitaji ya raia wake ndio maana idadi ya Watanzania nje ni ndogo sana. Yaani Watanzania hawana sababu za kukimbia inchini kwao kutafuta maisha bora kwingine.

Watu wanakimbia nchi kwa sababu za kiusalama, maisha magumu. Ndio nchi kama Nigeria, Ethiopia, Kenya, na hao Uganda. Yaani wapo huko nje wanafanya vibarua vya kudhalilisha utu na kupeleka hela home"

Sasa wewe nawe ulivyo unavyiojijua wewe, unataka tushindane nao kukimbia Tanzania kwenda kuosha vyombo na kufua nguo Saudi Arabia na kwingineko. Ndio maana tunakuuliza kama wewe ni mzima
Acha ujuaji kijana,
Na kuona kila anaekimbilia nje ni anaenda kua househelps kama unavyodhani...Hapa duniani kila mtu anamalengo yake kama haujayafikia apo Tanga unajaribu Dar kama bado unaweza kwenda hata Sydney ilmradi uyafikie, Sasa wewe umeshikilia kua wanaenda kujidhalilisha fine hakuna shida ila kama malengo yake yametimia mimi sioni tatizo.

Aliejaribu kuwarudisha wataalam wetu wengi warudi alikua Raisi Kikwete,kipindi tunasoma chuo wale tuliowakuta wanamalizia MD5 karibu wote walizamia Botswana, wanakula hela nzuri kule maisha yao yanaenda safi ,ni mbaya kwa nchi lakini kama hakuna izo fursa sio kila mtu anaweza kukaa asubiri kulipwa hela kiduchu na anaweza kupata nyingi sehemu zingine

Wewe unakichaa!

Tunapoongelea jambo tunaangalia percentage, na sio watu 50 or 40. Tunaongelea kati ya watu 1,000, watu 800 ambayo ni 80% wanafanya nini, sio hao 200 waliobaki.

Kama wewe ni mtembezi nje ya nchi, unajua vyema 80% to 90% ni wafanya vibarua vya hovyo. Unafikiri wazungu wanatoa tu ajira za maana kwa wageni.

Ndani ya England hapo, wageni wengi shughuli zinazowalipa ni kuhudumia Wazee, vilema kuwapeleka chooni na kuwatawaza. Acha kujidanganya kwakua upo tu hapo Tanzania vijiweni mnadanganyana na wewe unakuja hapa unafikiri sisi ni watu wa magengeni.
 
Wewe unakichaa!

Tunapoongelea jambo tunaangalia percentage, na sio watu 50 or 40. Tunaongelea kati ya watu 1,000, watu 800 ambayo ni 80% wanafanya nini, sio hao 200 waliobaki.

Kama wewe ni mtembezi nje ya nchi, unajua vyema 80% to 90% ni wafanya vibarua vya hovyo. Unafikiri wazungu wanatoa tu ajira za maana kwa wageni.
Kama story zako ndio hizi za wewe unakichaa wewe sijui nn Basi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Konza risingView attachment 2518457
IMG_180956_15223.jpg
IMG_180949_15223.jpg
IMG_180926_15223.jpg
IMG_180933_15223.jpg
IMG_180909_15223.jpg
IMG_180940_15223.jpg
IMG_180915_15223.jpg
 
Your problem is that, you know nothing but you don't like to keep quiet. Do you know the definition of raw materials?. According to you then there is nothing under the sun which is not raw material.

When you mention that you are buying iron ore from Tanzania and you sell to us steel, is steel not raw material?
Kubali nimekupa somo kuhusu rice kuwa raw material yaishe. You didn't know it is but now you know and you should thank me for that!

A raw material is any substance used in the primary production or manufacturing of goods. So iron tunayowauzia is still a raw material if it's used to manufacture another good.

The point was that we sell to you mostly processed (finished) goods wakati nyinyi mnatuuzia unfinished goods kwa wingi.
 
Hawa waandishi uchwara sijui wanatoka wapi. Kwani huo sio umeme wa Tanesco pia? Angetakiwa aseme sgr inatumia a dedicated power line to run the trains.
Nadhani wewe ndio hujaelewa mkuu.Umeme unaweza ukachukuliwa Kidatu,Songasi au Nyereree Hydro Power etc na usiwe wa tanesco.Tanasco anapokea kwa mzalishani ,andafirisha na kuuza.Hivyo serikali unaweza kudesgnate njia huru for SGR.
 
🤣🤣🤣 Unamtishia nani nyau.? We jamaa .. konza is just an empty green field 👇View attachment 2518428na hii picha nayo ni ya juzi tu when your ex president Uhuru pays a visit 👇View attachment 2518429au hizo smart technology in konza zinaekwa kuona nyoka zikikariza kwa hiyo pori kubwa.? 🤣🤣
Akikuonesha just 1% of this naomba unitag nifunge acc plz 😆😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ndio render hebu tuoneshe just 1% of it sasa hvi na ukumbuke ni over 14 yrs now View attachment 2518560View attachment 2518561View attachment 2518562
 
Hii ni nn budaa hvi nyinyi hamuna plan ya kuekeza kitu mukafanya project ikaonesha effect kwa kusaidia mwananchi wa chini kabisa 🤣🤣🤣 munataka mambo makubwa na hamuna uwezo nayo
Bongolala si unasumbuka yani 😂
 
Back
Top Bottom