Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 888
- 1,055
Kwa lipi sasa? Mnapenda kujitekenya mkicheka wenyewe.Ndio maana ukiwasikiliza watu wanaolalamika hapa Tanzania Huwa siwaelewi na Huwa ninkuwadekeza..
South Toka mwaka Jana hakuna umeme,Nigeria watu wanapanga folenj hakuna mafuta,Egypt huko inflation ni majanga tupu, Kunyaland hapo ni kama imefilisika kabisa.
Tanzania pande zote tuko njema sana mpaka Nchi nyingi zinatushangaa imekuaje kuaje