ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,248
Viwanda vitakuja Mzee,ngoja Sasa umeme uwe wa uhakikaSasa kwa nini viongozi wetu wasitumie hiyo opportunity kuleta viwanda kwa sababu political stability ya Tanzania ni rahisi kupata wawekezaji wawekeze kwenye production ya generator, agricultural tools na kufanya bulk importation of diesels / petrol. Maana tunaweza peleka EAC na SADCC ,
Yaani kuna potential sana kama wanavyofanya Dubai au Guangzhou Kama trade center
Itakua ma multiprier effect kubwa kama source of revenue (taxes) na employemnt kwa watu wengi
