Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha hasira, Scania amepiga kambi Kenya sasa Golden Dragon ndio huyo kafwata.🤣🤣🤣 Tunawaletea services karibu, hakuna haja ya kwenda China mtakua mnakuja Nairobi au Mombasa.
Tuje Mombasa? Huku Dar coach, Hanspaul na RSA wikifanya nn?

 
Tuje Mombasa? Huku Dar coach, Hanspaul na RSA wikifanya nn?

Golden Dragon Assembly iko Kenya, you can't change facts. Vile hua munaundiwa Scania huku Kenya very soon hizo mchina pia mtakua muntoa huku.
 
Scania inaundiwa wapi?
Assembly ya Scania pamoja na offices za East Africa region iko Kenya, najua inakuwasha lakini itabidii uzoee.
Image
 
Unadhani meli ni baiskeli intengenezwa na siku moja. Hii ndio reasoning ya wabongo ambao hata baiskeli hamwezi tengeneza.
Si kwa ubaya ila vitu vyenu vimekaa ki kali sn thus y Watz wanawadharau mno. Huku Tz ukisikia tunafanya ujue tunafanya kweli, nadhani wenyewe mnaona. Anyways, leo timu ya wananchi a.k.a Yanga inacheza leo kule Tunisia, angalia mazoezi yao na jinsi vifaa vyao kama timu fulani kutoka Europe, Dar es salaam Young Africans
FB_IMG_16761880346340409.jpg
FB_IMG_16761880397915325.jpg
FB_IMG_16761880437426099.jpg
FB_IMG_16761880487796069.jpg
FB_IMG_16761880527097931.jpg
 
Ajabu kweli.. hao jamaa wapo kutupinga tu .. meli imeanza kupostiwa humu kuanzia ni chuma moja moja .saiv huyo kichaa anadai eti ni repair .. Si uchawi huu
Walipoona tunajenga Mv Mwanza nao wakaanza kujikusanya kusanya kijua kali jua kali wakaanza kuokota okota machuma nao wanajenga meli, cha kuchekesha zaidi sasa ni kwamba kazi ya kupiga bati na kupaka rangi wamewapa vilaza kdf wee subiri uone ngoma itajibu sio mda mrefu
 
Du sio kwa chuki hizo budda!!

Unajua kuna kipindi nilikuwa najidanganya kwamba niache kuspeak ill for my fellow Afrikans na tuongee lugha moja as Afrikans kama kudevelop our cities and build our economies.

Lakini nimekuja kugundua hicho kitu hakiwezekani, hapa Afrika Mashariki labda sisi tu ndio tunaweza kuishi namna hiyo given the historical facts za kuchukulia Waafrika wote kama ndugu zetu tena kwa kuwakaribisha na kuishi nao na kutoa mali zetu na uhai wetu kwa ajili yao. Lakini ona walivyotugeuka?

Na hata hawa ndugu zetu hapa Afrika Mashariki (hasa Kenyans) hawana mentality hiyo, kwao sisi ni adui zao na wako standby kutumaliza wakipata nafasi, hawatupendi, wanatuonea wivu na mbaya zaidi wanatuchukia. Kiongozi yoyote atakayeamua kucheka nao na kuwakaribisha ‘chumbani’ ajue katumaliza kama nchi na hatufai kabisa. Hawa sio wa kucheka nao, ni wa kuishi nao kinafiki tu na kuwafanya fursa. Rais Samia ajitahadhari sana, zile sifa walimpa kwenye birthday yake kuna jambo, akiingia mkenge ameisha na hatutamsamehe. Hawa ni mumiani kabisa, blood sucking vampires. They can turn you to a meal anytime. Ni wa kukaa nao mbali kabisa kama takataka za mitaro ya Kibela.
Sure, Wakenya ni Mavi kabisa hata chakula tunachowapa ni nafuu tuwape mbwa lkn co hawa, wana roho mbaya sana.
 
Back
Top Bottom