Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna tofauti kubwa Latina undeshaji wa uchumi wa kenya na uchumi wa tanzania.

Uchumi wa Kenya unaendedhwa kwa front loading economy ( uchumi bandia), ni uchumi unao endeshwa kwa kuchapisha pesa na kidogo kinacho zalishwa na kuki ku-export kinatumika kama dhamana na kuservice madeni. Kenya haina uwezi wa kujiendesha kama nchi bila kukopa hata kidogo.

Thamani ya uchumi wao (mapati) ukifananisha na deni, wana kosa uwezo hata kulipa mishara ya wafanyakazi wao wa umma.

12 % uzalishaji na akiba - 112% ya uchumi wao wote deni na dhamana walizochukua.

Kenya ni nchi iliyo filisika kwa mizania ya Traditional standards za kiuchumi kama zilivyo Marekani/ Uingereza/Ufaransa/ na karibu nchi zote za ulaya magharibu kutoa nchi chache tuu kama Ujerumani.

Katika bara la ulaya ni nchi tatu ndizo zenye uchumi halisi Germany, Russia na Belarus. Zote zilizo baki zina chapisha pesa kuwawezesha kuendesha uchumi na shuguli za serikali zao.

Na kwa leo hii ni Russia pekee ndio nchi yenye kubaki na bakaa yani wanatumia pesa kwa mahitaji yao yote na pesa inabaki japo inatengeneza chuki na wivu mzito wa kiuchumi na wenzake wa Ulaya wanaochapisha pesa kuendesha chumi zao.

Muda mwingine nitajaribu kufafanua uchumi wa Tanzania ila napata shida sana kwa kutumia lugha yetu kwa maandiko ya kitaalamu, kukiwa na makosa tusameheane. .
Ni kweli...

Lakin kenya ndo real failed state...hawana maendeleo yoyote kulinganisha na Uingereza au US lakin washafikia hatua hii...
Bora hata hao US washaendelea...hao kenya ni msoto kwenda mbele
 
Between CBD and Upper Hill stands a huge recreational park you can't find anywhere in Tanzania; Uhuru Park. Besides that, there's also a golf course (Railways Golf course). Niambie ni nini stands between Kariakoo and posta
Between cbd and upperhill kuna 'community area' ambayo ni cbd kivyake. Community is better than any cbd in Danganyika
 
download (10).jpg
download (7).jpg
 
Kuna tofauti kubwa katika undeshaji wa uchumi wa kenya na uchumi wa tanzania.

Uchumi wa Kenya unaendedhwa kwa front loading economy ( uchumi bandia), ni uchumi unao endeshwa kwa kuchapisha pesa na kidogo kinacho zalishwa na kuki ku-export kinatumika kama dhamana na kuservice madeni. Kenya haina uwezi wa kujiendesha kama nchi bila kukopa hata kidogo.

Thamani ya uchumi wao (mapati) ukifananisha na deni, wana kosa uwezo hata kulipa mishara ya wafanyakazi wao wa umma.

12 % uzalishaji na akiba - 112% ya uchumi wao wote deni na dhamana walizochukua.

Kenya ni nchi iliyo filisika kwa mizania ya Traditional standards za kiuchumi kama zilivyo Marekani/ Uingereza/Ufaransa/ na karibu nchi zote za ulaya magharibu kutoa nchi chache tuu kama Ujerumani.

Katika bara la ulaya ni nchi tatu ndizo zenye uchumi halisi Germany, Russia na Belarus. Zote zilizo baki zina chapisha pesa kuwawezesha kuendesha uchumi na shuguli za serikali zao.

Na kwa leo hii ni Russia pekee ndio nchi yenye kubaki na bakaa yani wanatumia pesa kwa mahitaji yao yote na pesa inabaki japo inatengeneza chuki na wivu mzito wa kiuchumi na wenzake wa Ulaya wanaochapisha pesa kuendesha chumi zao.

Muda mwingine nitajaribu kufafanua uchumi wa Tanzania ila napata shida sana kwa kutumia lugha yetu kwa maandiko ya kitaalamu, kukiwa na makosa tusameheane. .
Tunaomba leta tu kwa lugha yoyote google ipo.
 
Jana nilikua naangalia VOA nimeshang'aa kumbe south africa hawana umeme wa kutosha wanastruggle sana na umeme (blackout) ya kutosha. Yani ni tatizo kubwa

Then, Nigeria poa hawana petrol wakati wanaongoza kwa kuzalisha kwa Africa, yaani hadi wanapanga foleni petrol station

Conclusion, sisi waafrika tukiamia ulaya na wazungu wakija afrika baada ya miaka 10 tutaomba kuja tena

Selfishness inatuua waafrika yaani mataifa makubwa yana struggle na vitu kama hivyo vya msingi
Ndio maana ukiwasikiliza watu wanaolalamika hapa Tanzania Huwa siwaelewi na Huwa ninkuwadekeza..

South Toka mwaka Jana hakuna umeme,Nigeria watu wanapanga folenj hakuna mafuta,Egypt huko inflation ni majanga tupu, Kunyaland hapo ni kama imefilisika kabisa.

Tanzania pande zote tuko njema sana mpaka Nchi nyingi zinatushangaa imekuaje kuaje
 
Huu mradi mkubwa wa umeme uishe tu haraka Tanzania tuanze kupiga pesa.

SA wangekuwa serious wangeanza ujenzi wa line.
Waziri wa nishati sijui yupo wapi.

Hivi SADC hawanaga vikao vinavyo husu nishati?
 
Between CBD and Upper Hill stands a huge recreational park you can't find anywhere in Tanzania; Uhuru Park. Besides that, there's also a golf course (Railways Golf course). Niambie ni nini stands between Kariakoo and posta
Mashujaa park una lingine?
 
Huu mradi mkubwa wa umeme uishe tu haraka Tanzania tuanze kupiga pesa.

SA wangekuwa serious wangeanza ujenzi wa line.
Waziri wa nishati sijui yupo wapi.

Hivi SADC hawanaga vikao vinavyo husu nishati?
Wakuu wa Nchi walijadili Hilo swala kule Egypt,muwe mnafuatilia Mikutano ya Rais Samia.

Wako kwenye hiyo process maana hata Tanesco ulisema inauza umeme Tanzania Kwa bei ya hasara kwa hiyo Ili ijiendeshe lazima iuze umeme kwenye Nchi za SADC ambazo bei yake ni Juu na hasa South Africa.

Saizi wanajenga njia kubwa kuelekea huko.
 
Naweza kuona progress ya huo ujenzi wa hiyo njia kubwa?
 
Back
Top Bottom