ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Tusisahau hili soko la Mbaazi lilivurugwa na Chuma almaarufu malaika.
Asante sana Rais Samia
Asante sana Rais Samia


Hiyo park unatembea from one end of posta to the other end of kariakoo within 30 seconds unalinganisha na Uhuru park and Railways golf course that separate cbd na Upperhill?Mashujaa park una lingine?
BTW I forget about Community, an area I always call "Government Square" given the high number of national government offices/ministries thereBetween cbd and upperhill kuna 'community area' ambayo ni cbd kivyake. Community is better than any cbd in Danganyika
Huo umeme wetu unasubiriwa kwa hamu Sana na nchi za SADC, na miundombinu ya usambazaji imeshakamilikaHuu mradi mkubwa wa umeme uishe tu haraka Tanzania tuanze kupiga pesa.
SA wangekuwa serious wangeanza ujenzi wa line.
Waziri wa nishati sijui yupo wapi.
Hivi SADC hawanaga vikao vinavyo husu nishati?
Sekunde 30 .? 🤣🤣 u must be crazy. Umbali wa 160 meters.?Hiyo park unatembea from one end of posta to the other end of kariakoo within 30 seconds unalinganisha na Uhuru park and Railways golf course that separate cbd na Upperhill?
Sasa kwa nini viongozi wetu wasitumie hiyo opportunity kuleta viwanda kwa sababu political stability ya Tanzania ni rahisi kupata wawekezaji wawekeze kwenye production ya generator, agricultural tools na kufanya bulk importation of diesels / petrol. Maana tunaweza peleka EAC na SADCC ,Ndio maana ukiwasikiliza watu wanaolalamika hapa Tanzania Huwa siwaelewi na Huwa ninkuwadekeza..
South Toka mwaka Jana hakuna umeme,Nigeria watu wanapanga folenj hakuna mafuta,Egypt huko inflation ni majanga tupu, Kunyaland hapo ni kama imefilisika kabisa.
Tanzania pande zote tuko njema sana mpaka Nchi nyingi zinatushangaa imekuaje kuaje
South Africa ni sabotage inafanywa na Wazungu kwa muda mrefu sana kimkakati ili watu weusi waonekane hawawezi kuongoza. Sio umeme tu, pia, Wazungu wenye maghala makubwa ya kununulia vyuma chakavu, wamewalipa walalahoi wengi hasa wakati wa Lockdown kungoa mataruma ya reli, na yameng'olewa kisawa sawa pamoja na nyaya za umeme kwenye reli to a point hakuna tena treni toka Johannesburg to Pretoria ukiachia Gautrain.Selfishness inatuua waafrika yaani mataifa makubwa yana struggle na vitu kama hivyo vya msingi
Tukipata maviwanda makubwa kadhaa huo umeme ungetumika hapahapa na usitosheHuo umeme wetu unasubiriwa kwa hamu Sana na nchi za SADC, na miundombinu ya usambazaji imeshakamilika
Sasa intelligence ya south africa inafanya nini? Lakini umeme ni tatizo la muda wanashindwa kupata suluhu japo kwenye sabotage mabepari wako vizuri.South Africa ni sabotage inafanywa na Wazungu kwa muda mrefu sana kimkakati ili watu weusi waonekane hawawezi kuongoza. Sio umeme tu, pia, Wazungu wenye maghala makubwa ya kununulia vyuma chakavu, wamewalipa walalahoi wengi hasa wakati wa Lockdown kungoa mataruma ya reli, na yameng'olewa kisawa sawa pamoja na nyaya za umeme kwenye reli to a point hakuna tena treni toka Johannesburg to Pretoria ukiachia Gautrain.
Ni maswala ya kiintelegensia zaidi.
Mimi nafuatilia nondo za kiuchumi kwa kubukuka. Wewe ziporomoshe tu kwa lugha ya kingereza wala usiwer na hofu.Kuna tofauti kubwa katika undeshaji wa uchumi wa kenya na uchumi wa tanzania.
Uchumi wa Kenya unaendedhwa kwa front loading economy ( uchumi bandia), ni uchumi unao endeshwa kwa kuchapisha pesa na kidogo kinacho zalishwa na kuki ku-export kinatumika kama dhamana na kuservice madeni. Kenya haina uwezi wa kujiendesha kama nchi bila kukopa hata kidogo.
Thamani ya uchumi wao (mapati) ukifananisha na deni, wana kosa uwezo hata kulipa mishara ya wafanyakazi wao wa umma.
12 % uzalishaji na akiba - 112% ya uchumi wao wote deni na dhamana walizochukua.
Kenya ni nchi iliyo filisika kwa mizania ya Traditional standards za kiuchumi kama zilivyo Marekani/ Uingereza/Ufaransa/ na karibu nchi zote za ulaya magharibu kutoa nchi chache tuu kama Ujerumani.
Katika bara la ulaya ni nchi tatu ndizo zenye uchumi halisi Germany, Russia na Belarus. Zote zilizo baki zina chapisha pesa kuwawezesha kuendesha uchumi na shuguli za serikali zao.
Na kwa leo hii ni Russia pekee ndio nchi yenye kubaki na bakaa yani wanatumia pesa kwa mahitaji yao yote na pesa inabaki japo inatengeneza chuki na wivu mzito wa kiuchumi na wenzake wa Ulaya wanaochapisha pesa kuendesha chumi zao.
Muda mwingine nitajaribu kufafanua uchumi wa Tanzania ila napata shida sana kwa kutumia lugha yetu kwa maandiko ya kitaalamu, kukiwa na makosa tusameheane. .
Ni mwaka jana ndio hali ilikua mbaya sana. Swala kubwa ni hakukua na maintenance inayofanyika kwenye mitambo ya uzalishaji na pia wao kuzima na uongozi wa Ramaphosa kukataa kutumia coal, ni tatizo pia.Sasa intelligence ya south africa inafanya nini? Lakini umeme ni tatizo la muda wanashindwa kupata suluhu japo kwenye sabotage mabepari wako vizuri.
Na waafrika unajifanyia sabotage mwenyewe kwa kiasi kidogo cha siku mbili. Ubinafsi wq kiwango cha juu sana
Wacha nichangamkie fursa hapo kabla wakenya waamkeLeo pale Dar free market nimeangalia Movie ya Kichina 流浪地球2(Wondering Earth 2) na Balozi wa China pia alikuwepo. Moja wa Sponsor walikua hawa East Africa Commercial and Logistic center . East africa’s Largest one stop center For wholesale and logistic center) This project has started and selling.
View attachment 2513893
View attachment 2513894
Unajua kusoma?Nani kakwambia hiyo estate ni best in DOM.?
Nikuulize swali hilo wewe hapo punguaniUnajua kusoma?
Kama wewe unayajua haya kwamba Serikali ya south Africa haiyajui? Kama hawana akili acha wanyoleweSouth Africa ni sabotage inafanywa na Wazungu kwa muda mrefu sana kimkakati ili watu weusi waonekane hawawezi kuongoza. Sio umeme tu, pia, Wazungu wenye maghala makubwa ya kununulia vyuma chakavu, wamewalipa walalahoi wengi hasa wakati wa Lockdown kungoa mataruma ya reli, na yameng'olewa kisawa sawa pamoja na nyaya za umeme kwenye reli to a point hakuna tena treni toka Johannesburg to Pretoria ukiachia Gautrain.
Ni maswala ya kiintelegensia zaidi.