nilichokua na muonesha aone nchi yao ilivojengeka kwanzia miundombino mpaka kila kitu licha ya kua na vikwazo vya dunia nzima kwa miaka mingi sana sijui unanielewa nachomaanisha 🤣🤣🤣 na hata hio technology kwanzia military mpaka space still anabakia tishio dunia nzima mpaka kwa wale mabwana zenu hope umenielewa sasaYou have such a limited and biased worldview. Magorofa si maendeleo. Hiyo still uliyoweka pekee ni tosha kukwambia kuwa hawataki ukulele hali halisi ya maisha yao. Sure, maghrofa yanajengwa, but it’s all just a facade!
Achana nae huyo akili zao zilishajazwa funza juu ya maadui wa mabwana zao nani hajui leo ukienda kinyume na wazungu wanaanza kukuongelea vibaya na propaganda kibao za uongo ili wakuchafue 🤣🤣🤣 north korea imeekewa vikwazo miaka kibao lakini ushawah sikia wanaterereka kwa chochoteUna picha au vid ikionyesha underdevelopment in n.korea au na wewe ni walewale wazee wa western propaganda.? Gorofas+barabara za lami+beautiful Parks and all those beautiful amenities that are the indicators of development, utasemaje si maendeleo.? Na tupo hapa tunabishana na wakenya 24/7 kupost hizo vitu na kwamba mwenye gorofa nyingi na barabara nzuri tunamtaja kama ameendelea kuliko mwingine.? Vipi we jamaa bhana.? Zimo kweli.?
Na wanafanya hvo kwa ajili ya usalama wa nchi yao licha ya adui number moja wao ni marekani na washirika zake ikiwa video zinazoonesha nchi yao ilivopiga hatua kwenye kila kitu unafkiri hzo sehem ambazo haziruhusiwi kuchukua picha zitakua ni nn??North Korea hairuhusu entity yoyote kufanya research Au ku-record video kwenye maeneo mengi ya nchi yao. As a matter of fact, kama unataka kuchukua video footage ni maeneo machache unayoruhusiwa kufanya hivyo. Na kuna sehemu watalii hawaruhusiwi kufika kabisa. Sasa hiyo video nitaipata wapi? Na kwanini waweke hizo restrictions? Ni vitu gani wanaficha?
Sijasema kuwa ujenzi wa majengo Au miundombinu ni kitu kibaya . Nimesema ni FACADE! Authoritarian regimes wanaweza kufanya kitu chochote wanachotaka ikiwemo kujenga impressive buildings lakini maisha ya watu wao ni ya chini na matatizo mengi ya human welfare yanawatesa. USSR ni mfano mzuri.
he distance between Posta and kariakoo haifiki hata mita mia tatu. Ni majina tu yanatofautiana but it's one and the same place
🤣🤣🤣🤣🤣 mama ngina aliwadanganya hvo au ikiwa kutoka CBD nairobi kwenda westland na upperhill ni 3km each sasa hapo unataka tushindane nn na kati kati ya hzo 3km kuna misitu ya maana kila konaThe distance between Posta and kariakoo haifiki hata mita mia tatu. Ni majina tu yanatofautiana but it's one and the same place
Lucky summer ikifika Dar inakua cbd sababu inafanana na kariakoo 🤣🤣🤣Stop hiding behind the word 'block.' Nilikuambia hata Lucky Summer is considered a slum in Nairobi but nyumba ni apartments blocks. Way better than your uswazi sprawls that cover your entire city View attachment 2512835
I have countless documentaries showing western tourists who have been jailed because of recording stuff in North Korea. Tourists are not allowed to mingle with normal North Korean citizens and the places tourists visit are pre-selected and you have to stick to the given schedule or otherwise face prosecution.North Korea hairuhusu entity yoyote kufanya research Au ku-record video kwenye maeneo mengi ya nchi yao. As a matter of fact, kama unataka kuchukua video footage ni maeneo machache unayoruhusiwa kufanya hivyo. Na kuna sehemu watalii hawaruhusiwi kufika kabisa. Sasa hiyo video nitaipata wapi? Na kwanini waweke hizo restrictions? Ni vitu gani wanaficha?
Sijasema kuwa ujenzi wa majengo Au miundombinu ni kitu kibaya . Nimesema ni FACADE! Authoritarian regimes wanaweza kufanya kitu chochote wanachotaka ikiwemo kujenga impressive buildings lakini maisha ya watu wao ni ya chini na matatizo mengi ya human welfare yanawatesa. USSR ni mfano mzuri.
KDF?, Hahahaha mkuu unawajua hao walevi au unawasikia?, Hakuna kitu hao wanaweza
![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi ile ferry ya ukunyani iliyokuwa inaundwa Kisumu, iligotea wapi? Au KDF walishindwa ile kazi pia?
Huku ikitoka Mv Mwanza hapo chelezoni, meli nyingine inaanza kujengwa!







Shida yako na wenzako ndio hii,hamko flexible,unachojua wewe kama hakiko sahihi basi hutaku kuelekezwa,mna bore sanaHuna facts kaa kimya hizo ni porojo tu ..
Distance ya Posta hadi Kariakoo ni kama umemaliza Nairobi yote.Mita unazijua au umeambiwa?
Very true by the way 😂Lucky summer ikifika Dar inakua cbd sababu inafanana na kariakoo 🤣🤣🤣
Between CBD and Upper Hill stands a huge recreational park you can't find anywhere in Tanzania; Uhuru Park. Besides that, there's also a golf course (Railways Golf course). Niambie ni nini stands between Kariakoo and posta🤣🤣🤣🤣🤣 mama ngina aliwadanganya hvo au ikiwa kutoka CBD nairobi kwenda westland na upperhill ni 3km each sasa hapo unataka tushindane nn na kati kati ya hzo 3km kuna misitu ya maana kila kona
NimeambiwaMita unazijua au umeambiwa?
Ubaya ni kwamba Nairobi unahadithiwa and you are here making noise at the top of your voice about it. Unajua mahali Eastleigh iko kweli wewe bongolala? Ili ufike Eastleigh kutoka cbd ni lazima upande gari kijana wa Tandale. Unawezatumia Landhies road/Jogoo road, Ngara or Kariakor. Endelea kuhadithiwa kuhusu NairobiKwahiyo unalazimisha mzee.? Anyways tell me the distance between your CBD and eastleigh. Je so eneo moja.? Si afadhali ya KK na Posta zinatengenishwa na Park
Factum probandumNimeambiwa