Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka kwenye toll kuna camera na kila gari lazima iwe registered na vile vile kama isingekua kuna registration of vehicles wasingepata data ya kujua gari million 10 zimepiga trips kwa miezi 7 na wasingepata average kama hakuna registration hvi nyinyi shuleni hua munaenda kusoma au kula bajia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenya nzima kuna magari million 2 leo uniambie express way inapitisha gari million 10 [emoji16][emoji16] hvi nyinyi mulirogwa au ni laana
Wee msee ni kondoo bana[emoji2297] simple explanation unabisha hivi vyote[emoji23]
 
Siku zote nawasihi humu ndani mkenya muogope kama ukoma kwenye maneno 100 chukua moja ondoka na usigeuke nyuma hata mara moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hilo moja ulilochukua ukalitafakari tena

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kua broke ni temporary, apo cha kujifunza ni kwamba Serikali Yenu ilokopa sana,sasa madeni mnayolipa ni makubwa kiasi kwamba sasa serikali inashindwa kukidhi budget yake kutokana na fedha nyingi kwenda kwenye madeni...

Hata sisi Tunavyokopa kwa speed kwa sasa itafika wakati tunaweza kwenda huko wasipokua makini

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni sababu mojawapo ya kufilisi nchi, lakini sababu kubwa inayosababisha Kenya kufilisika ni kuishi nje ya uwezo wao.

Gharama za kuendesha serikali ya Kenya ni kubwa mno kuzidi uwezo wa nchi Yao, hivi jiulize sababu za msingi kwa Kenya kuwa na mabunge mawili ni ipi hasa?, Kwa uchumi you?.

Hivi kweli uchumi wa Kenya unaweza kweli kulipa MCAs, Senators, Governor's, wabunge, na Mawaziri?. Mshahara wa MCAs Kenya unalingana na WA DC huku Tanzania, mshahara wa Govonor ni zaidi ya mshahara wa rais huku Tanzania
 
Na rushwa pia jamaa wanaiba mno

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hii wanakokotoaje?kwamba ukimtumia mtu laki ni muamala mmoja akitoa ile laki ni muamala mwingine Au
20230209_083425.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Inategemea, 50K cars sio chache bado ni nyingi sana,Jibu zuri ni inategemea

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Of course ni nyinyi, but remember the whole of Mombasa road includes both the expressway and the regular lanes. On a normal day, you'll find the regular lanes choked and the expressway running smooth. Now imagine with the smoothness of the expressway, it handles 50k vehicles, now what do you think the choked regular lanes handle?
 
Wakunya mnajisikiaje mkiambiwa all this is half the price of chang'aa project? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti mnajua English? Mkashindwa negotiations? Elimu yenu ikawasaidiaje? [emoji23][emoji23] Tanzania na kiswahili chetu tukala bingo [emoji23][emoji23][emoji23]

Vitu kama hivi vinaonesha namna gani kunyaland ni full of dunderheads na elimu yenu ni ya kula visheti tu na mzigo wa kuni! [emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2509550View attachment 2509551View attachment 2509552View attachment 2509553View attachment 2509554View attachment 2509555View attachment 2509556View attachment 2509557View attachment 2509558View attachment 2509559

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2509560View attachment 2509561
Picha mbili za mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenya police contact center Nairobi. Monitoring all regions in Kenya
View attachment 2509791
Mkuu wa Polisi wa Kaunti ndogo ya kati OCPD ya Norok bwana Frederick Shiundu alitekwa na majambazi wawili wenye bunduki na kumnyang'anya bastola yake huku wakimtupa karibu na mto.

Hata Polisi wameshangazwa na ujasiri wa majambazi hao. Yaan mkuu wa kituo anatekwa na majambazi?

Bado mnajinasibu mna teknolojia kali ya kuangaza Kaunti zote za Kenya?
 
Unafikiri kenya nikama tanzania mnadanganywa magufuli ako ofisini na mafiles, here we say the truth no matter how painful it is
Ukweli hauwez fichikana dunia ya leo hilo utambue dunia ambayo kila binaadamu ni mjuaji kuliko mwenzake 🤣🤣🤣🤣
 
Hii wanakokotoaje?kwamba ukimtumia mtu laki ni muamala mmoja akitoa ile laki ni muamala mwingine AuView attachment 2511139

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwao ni safaricom na hana mpinzani 🤣🤣🤣 kuna sijui telkom sijui airtel ni wasindikizaji tu ila tanzania kuna ushindani wakibiashara kwenye makampuni ya simu
 
Of course ni nyinyi, but remember the whole of Mombasa road includes both the expressway and the regular lanes. On a normal day, you'll find the regular lanes choked and the expressway running smooth. Now imagine with the smoothness of the expressway, it handles 50k vehicles, now what do you think the choked regular lanes handle?
Leta takwimu kk

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Tunachobisha sio magari 10m yaliopita bali ni 10m trips [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunajaribu kuwaeka sawa ili mujue dunia ya sasa uongo hautakusaidia kuoga wala kula
Trips 10M zimefanywa na combo gani?kwa kuzingatia factors zote?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom