Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kwa nini niumie na refinery inayojengwa Kenya wakati na sisi tunajenga yetu
Hii issue ya refinery ya dangote TZ na UG kutokuwemo kunyan wanaumia sana,usione wanajichekesha chekesha,wanajua fika nasi tutajenga refinery yetu,in short kunyan wanataka wanufaike na geography ya TZ
 
Hapa unaongea vitu gani wewe jitu zima fala.? Unavyotaka kuweka huu mjadala vyovyote vile iwe ni kwa idadi ya nyumba au iwe ni kwa ukubwa wa eneo, 10% ya nyumba zilizopo Dar ni mara mbili au zaidi ya mara tatu ya 40% ya nyumba zilizopo Nairobi. Nadhani unajua tunavyojenga nyumba zetu. Halafu hako ka nairobi eneo linaloishi watu si 600 sq. Kilometers, usilete habari za uongo uongo hapa, nilishakuonya. Eneo la hako ka mji linaloishi watu ni 300+ square kilometers, the rest ni mbuga za wanyama, vichaka na mapori left right and center . Stupid
I thought I was talking to someone with a brain. Forgive me. 🚮🚮
 
Hii issue ya refinery ya dangote TZ na UG kutokuwemo kunyan wanaumia sana,usione wanajichekesha chekesha,wanajua fika nasi tutajenga refinery yetu,in short kunyan wanataka wanufaike na geography ya TZ

1000025362.jpg

😁
This week mtaongeza pages mingi kwa thread
.
 
Hii issue ya refinery ya dangote TZ na UG kutokuwemo kunyan wanaumia sana,usione wanajichekesha chekesha,wanajua fika nasi tutajenga refinery yetu,in short kunyan wanataka wanufaike na geography ya TZ
Kinachowauma zaidi ni mafuta yanakuja straight badala ya kwenda kuomba nja 😂😂😂😂 apo bado SGR ta tz hazijaungana walie vizuri 😂😂😂 na sio kwamba hatuna wateja basi tu, tuna agenda na uganda alafu sehem zingine zinafuata
 
Screenshot_20260927-165710~3.jpg

Maku wanataka reli yao iunganishiwe upande wa singidazhawa wangese awalindi migongo yao aisee
 
Ni vile akili tu hamna,si mlikua mnatupigia kelele humu kuhusu sgr ya diesel,kilichowakuta siku ya uzinduzi wa safari ya dar -moro ndio siku mliyoanza kuandama ruto must go
actually the one who promsied alikua uhuru 🤣 🤣 🤣 hepromised an electric train kwenye kampeni 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom