Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi uko na akili kweli?, Punguza ujinga kidogo basi. Rekodi inayowekwa ni kila gari linapopita na linapotizwa pesa, wewe ukipita asubuhi utatozwa pesa, hapo itasomeka gari Moja limepita, ukirudi jioni utatozwa Tena pesa na itasomeka gari lingine Tena limepita, endapo siku hiyo hakuna gari lolote lililopita, katika records zao jioni watahesabu kwamba katika hiyo siku ni gari mbili tu zilipita na mapato yataonyesha ya gari mbili siku hiyo, sio gari Moja.
Hizi ni vitu obvious tunawashangaa nyinyi watanzania mnashindwa kuelewa simple concepts....eti tunapika data, eti Nairobi haina gari 10m bla bla bla
 
Nakuru, Levels
FB_IMG_16704040334515648.jpg
FB_IMG_16704040124557174.jpg
FB_IMG_16704039799614901.jpg
 
Hizi ni vitu obvious tunawashangaa nyinyi watanzania mnashindwa kuelewa simple concepts....eti tunapika data, eti Nairobi haina gari 10m bla bla bla
Population ya Nairobi haizidi 5M, Kama Nairobi iko na gari 10M, hiyo maana yake Kila mkazi mmoja wa Nairobi Hadi watoto wadogo na wakazi wote Kule Kibera na slums zingine, wanamiliki gari 2 kwa Kila mtu[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Na watu wamekaa lisaa limoja na dakika kadhaa tu hapo[emoji23]
Wangekaa hapo saa nne ya usiku hadi hiyo saa kumi na moja wangekunywa mshahara wa Mwaka wa Mtumishi[emoji23]
Daah ni hatari sana...hivyo viwanja mi naogopa kwenda[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
DAR es salaam major roads ..
moizhusein_1643904808031301.jpg
IMG_2172 (1).jpg
20230107_185627.jpg
2
storytellerbrand.tz_1646758303768766.jpg
IMG_4838.jpg
3
1000_F_409182617_UE71u6XkkrF4e6Z9IkJ75PhKvFMSsADC.jpg
nssf-pic.jpg
4 Morogoro road
mydaressalaam_1641946306985355.jpg
Kimara-Kibaha-road-project.jpg
5 Mandela road-Samnujoma
IMG_4859.jpg
FHm8jWyXMAEMbBZ.jpg
20230104_215142.jpg
6 kilwa road
ikulu_mawasiliano_1638620553691147.jpg
7. Pugu road
Screen Shot 2022-06-13 at 10.40.32.png
Screen Shot 2022-06-13 at 10.40.15.png
8 magomeni-Morocco
rsz_1brt_dar_se_laam(0).jpg
9. Others 👇
tarura_tanzania_1675435690933382.jpg
tarura_tanzania_1675435690933590.jpg
10.
ortamisemi_1675069606199453.jpg
this DAR . Barabara nne Kati ya nilizopost zinapitiwa na BRT yaani ni 6 lanes roads.. kilwa road, morogoro road, Magomeni-Morocco and pugu road ( u/c) .. Nicxie. Njoo ujifunze DAR .. na wewe Mashashola.
 
Hizi ni vitu obvious tunawashangaa nyinyi watanzania mnashindwa kuelewa simple concepts....eti tunapika data, eti Nairobi haina gari 10m bla bla bla
Kutokana maelezo ya mchina mwenye mradi kasema magari yaliopita na kua registered ni 10k na trips ni million 10 kwa miezi saba na makusanyo 2b ksh😆😆😆😆 punguzeni ujinga na ufala sasa sikiliza maelezo kwa makini
 
Kumbe inapitisha gari elfu kumi buana 🤣🤣🤣 ama kweli maneno ya mkenya 100 chukua moja sepanalo mengine mbwagie mwenyewe 🤣🤣.. kwahyo ni sawa na barabara ya magomeni kanisani-Sinza kijiweni via Tandale .? 🤣🤣🤣
 
Siku zote nawasihi humu ndani mkenya muogope kama ukoma kwenye maneno 100 chukua moja ondoka na usigeuke nyuma hata mara moja 🤣🤣🤣🤣 na hilo moja ulilochukua ukalitafakari tena
 
Back
Top Bottom