Hajui kuwa hio ni frequency ya magari yaliyopita hapo, yan gari moja limeweza kupita hapo zaid ya mara 210 (7 months x 30days, hapo kwenda tu bado kurudi 🤪).. au tufanye haya mahesabu, kwa hio idadi ya magari 10m means "kila mtu" nairobi hata muendesha mkokoten ana gari at least mbili, mana nairobi kuna watu chini ya 5 mil au tuseme wanataka kutuambia watu kutoka counties/mikoa mengine zaid ya mil 5 wamepita hapo? Otherwise wawadanganye matenants wenzao wa mama ngina anaeimiliki ardhi ya nchi nzimaPika data wawekezaji waongezeke