The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Tafuta gari tano tu zilizoongozana kwenye expressway ya mchina nitumie mm apa nikurushie KSH 10kThe expressway alone has 50k. What do you think the regular lanes have?








Tafuta gari tano tu zilizoongozana kwenye expressway ya mchina nitumie mm apa nikurushie KSH 10kThe expressway alone has 50k. What do you think the regular lanes have?








Kwani gari zikipita haziwi registered au 🤣🤣 na hzo gari zinazopita je hazipiti kwenye electronic trolling system 🤣🤣🤣 au zingine zinapaa juu ya toll mjinga kabisa tena mchina anarudia ni 10m trips in 7 month ww unabisha kwan mradi wenu huo mpaka ubishe ndio maana akili zenu zimeshikwa na wachina na munacharazwa viboko kama wajinga vile10k ni gari zilizorejister kutumia electronic tolling system, usiwe mjinga kama ichoboy
Kwani matatu zinapita juu subutu yake 🤣🤣These guys are bogus man! If you take the numbers that MChina mentioned. 10,000,000 trips but they have 10,000 registered vehicles using the road.
If you break it down to further you get an average of 4.7 trips per car everyday. Who the hell makes 5 trips on that road a day!
Kwani hizo gari 10,000 zote ni daladala
Hizi nyang'au hovyo sana!
Wenzako wenye akili wanahoji na kushangaa🤣🤣🤣🤣10k ni gari zilizorejister kutumia electronic tolling system, usiwe mjinga kama ichoboy
Wenye akili zao sasa 🤣🤣🤣🤣10k ni gari zilizorejister kutumia electronic tolling system, usiwe mjinga kama ichoboy
We always unakuaga mjinga sinaga time ya kubishana na wewe. Expressway ina modes 3 za kulipia; cash, manual tolling card(MTC) na electronic tolling card(ETC). Anazungumzia gari zilizorejister kutumia ETC, si gari nyingi zinatumia hii mbinuKwani gari zikipita haziwi registered auna hzo gari zinazopita je hazipiti kwenye electronic trolling system
au zingine zinapaa juu ya toll mjinga kabisa tena mchina anarudia ni 10m trips in 7 month ww unabisha kwan mradi wenu huo mpaka ubishe ndio maana akili zenu zimeshikwa na wachina na munacharazwa viboko kama wajinga vile
Kaka kwenye toll kuna camera na kila gari lazima iwe registered na vile vile kama isingekua kuna registration of vehicles wasingepata data ya kujua gari million 10 zimepiga trips kwa miezi 7 na wasingepata average kama hakuna registration hvi nyinyi shuleni hua munaenda kusoma au kula bajia 🤣🤣🤣 kenya nzima kuna magari million 2 leo uniambie express way inapitisha gari million 10 😁😁 hvi nyinyi mulirogwa au ni laanaWe always unakuaga mjinga sinaga time ya kubishana na wewe. Expressway ina modes 3 za kulipia; cash, manual tolling card(MTC) na electronic tolling card(ETC). Anazungumzia gari zilizorejister kutumia ETC, si gari nyingi zinatumia hii mbinu
Haya nenda kalale sasa kwa amani 🤣🤣🤣We always unakuaga mjinga sinaga time ya kubishana na wewe. Expressway ina modes 3 za kulipia; cash, manual tolling card(MTC) na electronic tolling card(ETC). Anazungumzia gari zilizorejister kutumia ETC, si gari nyingi zinatumia hii mbinu
Haya uliyoandika yanaitwa sifa za kijinga.10k ni gari zilizorejister kutumia electronic tolling system, usiwe mjinga kama ichoboy
CEO mwenyewe kwa hio video ya ichoboy anaskika vizuri akisema magari 10k zimesajiliwa kutumia electronic tolling system ila jamaa anabisha tu. Watu wengine hapa ni wa kupuuza tuHaya uliyoandika yanaitwa sifa za kijinga.
Wewe tumeshakuzoea unapenda kujitutumua tu na sifa za kijinga.CEO mwenyewe kwa hio video ya ichoboy anaskika vizuri akisema magari 10k zimesajiliwa kutumia electronic tolling system ila jamaa anabisha tu. Watu wengine hapa ni wa kupuuza tu
Sasa je hakusema kua 10m ni trips au??😆😆 au hesabu za 10m trips kazitoa wapi ikiwa hakuna proper registration data??CEO mwenyewe kwa hio video ya ichoboy anaskika vizuri akisema magari 10k zimesajiliwa kutumia electronic tolling system ila jamaa anabisha tu. Watu wengine hapa ni wa kupuuza tu
Mwenzako anauliza huku anasubiria jibu 😆😆
Najua huamini hapo ni Kenya ndio maana ulijifanya hukuona amejibiwa, ju huko bongolala hamjazoea such opulence. 🤣 🤣 🤣
🤣 🤣 🤣 Punguza kiherehere wewe mwarabu bandia.Nimecheka sana baricho road ndio jina la showroom 🤣🤣🤣🤣 ukipata jina la showroom nitag mm
Kua broke ni temporary, apo cha kujifunza ni kwamba Serikali Yenu ilokopa sana,sasa madeni mnayolipa ni makubwa kiasi kwamba sasa serikali inashindwa kukidhi budget yake kutokana na fedha nyingi kwenda kwenye madeni...Serikali masikini, raia masikini= Failed state