Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata Lucky Summer which is considered a slum in Nairobi nyumba ni za block, tena apartments. Sio hizo takataka zenu zilizotapakaa kila mahali in the most disorganized fashion bila hata barara View attachment 2510903
Ukizoom tu unaona tayar ni jalala 😆😆😆
Screenshots_2023-02-08-22-43-42.png
 
Hebu naombeni muskilize hii habari kwa umakini kidogo gari zilizopita ni 10k in 7 months [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 10m trips
These guys are bogus man! If you take the numbers that MChina mentioned. 10,000,000 trips but they have 10,000 registered vehicles using the road.

If you break it down to further you get an average of 4.7 trips per car everyday. Who the hell makes 5 trips on that road a day!

Kwani hizo gari 10,000 zote ni daladala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizi nyang'au hovyo sana!
 
Imefika muda kuna majengo yapo pale CBD ni mazuri lkn rangi imechakaa basi waamrishwe kupaka rangi au wavunje hayo majengo yanaharibu picha nzuri ya CBD yetu safi.
Jiji kama jiji wangefanya hii ishu kama chanzo cha mapato. Nyumba ipakwe rangi kila baada ya miaka 2. If not unapewa fine kama laki hivi!!
 
Hebu kwanza tizama mto unaopita hapo tandale ulivo msafi na wakisasa unategemea tandale itakua ile ya miaka 20 iliopita??🤣🤣🤣

Hata haya maji kwenye hii picha pia ni masafi sana, na hapa pia ni Tandale middle-class area
gwu-presentation-of-map-kibera-11-2048~2.jpg
 
maghorofa? 😂 😂😂😂
Yapo hata Kibera. Yani watanzania kwa kweli hii battle inawapeleka babaya. Hadi mnamentiion magorofa? 😂😂😂
Hayo magorofa yako wapi kibera au unaamsnisha haya hapa 🤣🤣🤣🤣
images - 2023-02-08T231029.929.jpeg
 
These guys are bogus man! If you take the numbers that MChina mentioned. 10,000,000 trips but they have 10,000 registered vehicles using the road.

If you break it down to further you get an average of 4.7 trips per car everyday. Who the hell makes 5 trips on that road a day!

Kwani hizo gari 10,000 zote ni daladala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizi nyang'au hovyo sana!
10k ni gari zilizorejister kutumia electronic tolling system, usiwe mjinga kama ichoboy
 
Wakulungwa wanavyopenda Sifa , Wameamua kupata sifa kwamba City Council ina gari zuri ila wakapotezea fedheha na aibu na kutokua na ustaarabu ku park ovyo hadi gari limefungwa tairi. Bora ange crop [emoji23].

View attachment 2510559
Wanasifia mpk ushuzi mbwa hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Population ya Nairobi haizidi 5M, Kama Nairobi iko na gari 10M, hiyo maana yake Kila mkazi mmoja wa Nairobi Hadi watoto wadogo na wakazi wote Kule Kibera na slums zingine, wanamiliki gari 2 kwa Kila mtu[emoji13][emoji13][emoji13]
Ni wanavituko kweli ,ujinga wao wakujifariji wamejisahau wanashindwa hata kufanya hesabu yakinifu
 
Back
Top Bottom