Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gari zilizokua registered ni 10k na trips za magari zilizofanya kwa miez 7 ni 10m na makusanyo yote yaliolipwa ni 2b kabla ya kutoa everything sio mm niliosema aliosema ni mchina mwenye mradi
Izo gari 10K nizilizosajiliwa wanalipa kwa card,wengine wanalipa Toll fees kwa cash

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
So nipe idadi ya magari yaliopita expressway? na kama hakuna registration walipata wapi data za kusema zimezungunka 10m trips
Ichoboy jambo lenyewe jepesi sana unataka kulifanya liwe kubwa.Trips 10M zimefanywa na magari kwa kipindi cha miezi saba sasa hapo sinikuganywa tu upate idadi kwa mwezi

Hebu gawanya ww utuletee hio average sasa na ugawanye na pesa ije kiwango hicho hicho 😁😁 naomba unisaidie wewe

Kwenye manano 100 ya mkenya yoyote duniani chukua moja uondoke zako
 
Ichoboy jambo lenyewe jepesi sana unataka kulifanya liwe kubwa.Trips 10M zimefanywa na magari kwa kipindi cha miezi saba sasa hapo sinikuganywa tu upate idadi kwa mwezi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wanachekesha sana.
Ukichukua kwa hesabu za kawaida.
10,000,000 ÷ 10,000 = 1,000
Yaani kila gari linakuwa trip 1,000
Mwaka upo na siku 365 maana yake ukisema linapita.
Hawa jamaa jamani.
 
So nipe idadi ya magari yaliopita expressway? na kama hakuna registration walipata wapi data za kusema zimezungunka 10m trips
Kwaivo argument yako ni unahitaji kuwa registered ndo ujulikane umepita?? Hivi hata unajua kama unalipa in cash ukiingia expressway unapewa risiti ambayo utatumia ukiexit ama ni kubishana tu unapenda?
 
🤣🤣🤣🤣 sasa alielipa cash inamaana hajawa registered kwenye data zenu au?? Na kama anapewa risiti maana yake amekua registered kwenye data yenu ndio maana mukatuletea habari za kuota mchana kua magari yamepita trips million 10 kwa miez saba
 
Data Over Cooking (DOC)
 
Haya!! Wamebana wameachia!
Screenshot_2023-02-09-10-11-57-948_com.twitter.android.jpg
 
Izo gari 10K nizilizosajiliwa wanalipa kwa card,wengine wanalipa Toll fees kwa cash

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Electronic payment huhitaji card, OBU inawekwa kwa windscreen inakua scanned na cameras zilizopo kwenye entry/exit points. MTC(manual tolling card) ndo utatumia card kurecharge pesa na kuswipe kwa toll points
 
Hawa jamaa wanachekesha sana.
Ukichukua kwa hesabu za kawaida.
10,000,000 ÷ 10,000 = 1,000
Yaani kila gari linakuwa trip 1,000
Mwaka upo na siku 365 maana yake ukisema linapita.
Hawa jamaa jamani.
Hio gari 10k ni gari zilizojisajili kutumia payment method moja ambayo ni (ETC) mbna nyinyi ni wagumu kuelewa vitu simple
 
Back
Top Bottom