Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of course ni nyinyi, but remember the whole of Mombasa road includes both the expressway and the regular lanes. On a normal day, you'll find the regular lanes choked and the expressway running smooth. Now imagine with the smoothness of the expressway, it handles 50k vehicles, now what do you think the choked regular lanes handle?
Soma hiyo!!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_2023-02-09-10-11-57-948_com.twitter.android.jpg
 
10m ni amount of times expressway imetumika, 10k ni idadi ya magari zilizosajiliwa kutumia electronic payment system. Kuna gari zinatumia kadi na cash
Okay vyovyote vile. Trip 10,000,000 unaelewa kweli au unaongea tu?
Yaani 10,000,000 / (7x30) =
47,620 magari yanapita kwa siku
Ambayo ni sawa na
1,985 kwa saa.
1985÷ 60 = ambayo ni sawa na magari 34 kwa kila dakika.
Yaani kila baada ya sekunde mbili gari linapita.
How many cars are registered in Nairobi?

Acheni uongo.
 
Ungeona na uko Tanzania [emoji23][emoji23]. You joke alot yo people
Mzee hapa tunaongelea statistics. Kwa magari 10m hapo pay point kungekuwa busy 24/7. Mimi nataka uniletee taarifa za kuonesha kuwa magari 10,000,000 yamepita for 7 months.

Lakini kwa hesabu za kawaida zinakataa.
 
Hawa jamaa wanachekesha sana.
Ukichukua kwa hesabu za kawaida.
10,000,000 ÷ 10,000 = 1,000
Yaani kila gari linakuwa trip 1,000
Mwaka upo na siku 365 maana yake ukisema linapita.
Hawa jamaa jamani.
Kingereza kinakusumbua ?kua muwazi kwanza ,Sio kila k2 lazima ubishebishe tu kama huelewi ni bora uulize

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hio gari 10k ni gari zilizojisajili kutumia payment method moja ambayo ni (ETC) mbna nyinyi ni wagumu kuelewa vitu simple
Peleka ufala wako mbali, hzo gari 10k zilipita kwenye makalio yako au? Waambie na wakundustan wenzako mkiniletea gari tano zimeongozana kwenye expressway ya mchina naondoka jamiiforums leo.

Sasa ikiwa gari tano tu zilizoongozana kwenye expressway ya mchina huwezi kupata, je hizo 10k kwa miezi saba (japo ni mingi sana hiyo miezi) mmezitoa wapi, mbn nyinyi Wakenya ni wapumbavu sn, yn kila data mkipewa mnaiamini bila kuelewa inamaanisha nini. Tuna majirani mizigo sn EA ndio maana yanatupa kazi ya kuyalisha kila kukicha kwasabu ya ukondoo walionao kichwani.
 
Ungeona na uko Tanzania [emoji23][emoji23]. You joke alot yo people
Sasa si muweke picha? Hivi nyie mlivyo na midomo mipana na kupenda sifa kuliko kula alafu expressway ya mchina zipite gari tatu kwa kila dk alafu msipost humu?
 
Okay vyovyote vile. Trip 10,000,000 unaelewa kweli au unaongea tu?
Yaani 10,000,000 × (7x30) =
47,620 magari yanapita kwa siku
Ambayo ni sawa na
1,985 kwa saa.
1985÷ 60 = ambayo ni sawa na magari 34 kwa kila dakika.
Yaani kila baada ya sekunde mbili gari linapita.
How many cars are registered in Nairobi?

Acheni uongo.
Unabisha nn hapo? Unabishana na watu wenye takwimu?Upumbavu ni kipaji

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom