Ninyi ni wajinga hamuwezi kushindana na sisi, wapuuzi ninyi, hamna akili kabisa, sikiliza huyo mchina anazungumzia "10M trips" sio vehicles.
Kuna "10M" trips zimefamyika ndani ya miezi 7, na Kila "trip" Moja ni 2Ksh. Kwahiyo hizo 10M trips, wamepata Kshs 2B.
Hiyo haijalishi kwamba gari Moja limepita mara ngapi ndani ya hicho kipindi Cha miezi 7. Kama Kuna mfanyakazi wa Airport Amelia akipita mara 2 kwa siku Moja kwenda kazini na kurudi, hizo ni "two trips", kwa miezi Sana gari lake idadi ya trips ni: 2trps per day x 5days per week x 4wks per month x7months = 280trps.
Hovyo Sana ninyi wakenya