President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
Kwenye logistics tumekubaliana wakenya wamesanda
Anakaa nairobae [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanakwambia inaenda sawa na Dodoma.Hio ni moja ya white elephant project in kenya hio project inaeza fikisha over 10 yrs toka imeanza na hua haina mwelekeo [emoji1787][emoji1787]
Wakenya hawana akili mkuu, wanakwambia expressway imepitisha gari ishirini kwa siku lkn hawajiulizi mbn zinapita gari tano tu zile zile, wanashangilia hawajui kwamba ni gari hizo hizo ila frequency inasoma 20. Hawajiulizi mbn road ni nyeupe na mamia ya gari zinapita chini, hilo hawataki kujiuliza, wanachotaka wao ni kwenda kwenye forum na kushindana na Watz tu.Hivi uko na akili kweli?, Punguza ujinga kidogo basi. Rekodi inayowekwa ni kila gari linapopita na linapotizwa pesa, wewe ukipita asubuhi utatozwa pesa, hapo itasomeka gari Moja limepita, ukirudi jioni utatozwa Tena pesa na itasomeka gari lingine Tena limepita, endapo siku hiyo hakuna gari lolote lililopita, katika records zao jioni watahesabu kwamba katika hiyo siku ni gari mbili tu zilipita na mapato yataonyesha ya gari mbili siku hiyo, sio gari Moja.
Imefika muda kuna majengo yapo pale CBD ni mazuri lkn rangi imechakaa basi waamrishwe kupaka rangi au wavunje hayo majengo yanaharibu picha nzuri ya CBD yetu safi.
Aliikata Tz alidhani hatutaona, wana chuki kali sn dhidi ya Tanzania nchi inayowalisha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani karibu ya Nembo yenyewe kabisa, yaani location matata. ila ya mkulungwa kapiga picha yeye au screen shot maana hata quality ya shida[emoji23] inaumiza macho.
Tazama render na walichokijenga hata 1% bado 😆😆😆Wanakwambia inaenda sawa na Dodoma.View attachment 2510277
Hawa wapuuzi huwa hawazingatii render kabisa, wana elimu mbovu inayowafanya kutokuwa wazalendo wa shit hole yao, kila mkundustan ni mwizi.Tazama render na walichokijenga hata 1% bado [emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 2510292View attachment 2510293View attachment 2510294
Kwa hivyo umekubali hakuna popote uswazini Dar iko na barabara kama hiyo ya Kibera?!😂😂Fala wewe hiyo ni highway inaweza pita popote hata mbugani, onesha street roads za kibera kama mm ninavyoonesha street roads za uswazi.
Have you ever seen a planned slum? 😃No slums in Tz, don't confuse it with some unplanned settlement you see in few areas.
Kuhusu access roads acha kabisa hii sector utaumia, tumeshaweka humu na mkakosa majibu, so nakusihi acha utajiaibisha.Kwa hivyo umekubali hakuna popote uswazini Dar iko na barabara kama hiyo ya Kibera?![emoji23][emoji23]
By street roads sijui unamaanisha nini but if you meant access roads then zipo nyingi sana View attachment 2510286View attachment 2510287View attachment 2510288
So, now the phrase slum has got a new vocabulary kwamba all unplanned settlement ni slums.Have you ever seen a planned slum? [emoji2]
Hii barabara iko nje kabisa na kibera slum usitake tuongee sana plz 🤣🤣🤣🤣Kwa hivyo umekubali hakuna popote uswazini Dar iko na barabara kama hiyo ya Kibera?!😂😂
By street roads sijui unamaanisha nini but if you meant access roads then zipo nyingi sana View attachment 2510286View attachment 2510287View attachment 2510288
Nakuambia acha kabisa hii maneno utaumia. Hizo ni roads zenye viwango, zinataa kabisa na zipo kila mtaa huku Dar.Kwa hivyo umekubali hakuna popote uswazini Dar iko na barabara kama hiyo ya Kibera?![emoji23][emoji23]
By street roads sijui unamaanisha nini but if you meant access roads then zipo nyingi sana View attachment 2510286View attachment 2510287View attachment 2510288
Fanya pavement hapa kwanza ndio uje na povuUchafu mtupu, mchina kawajengea road nyie mmeshindwa hata kufanya paving pembeni fukara nyie, Tz hatuna low standard za hivyo.
Barabara gani bongolala?Hii barabara iko nje kabisa na kibera slum usitake tuongee sana plz 🤣🤣🤣🤣
Were we not comparing Kibera roads with those found in your uswazi hovels? Hiyo barabara uliyoleta ipo uswazini kule Tandale, Mabibo, Mazense, Gongo la mboto ama Buguruni?Nakuambia acha kabisa hii maneno utaumia. Hizo ni roads zenye viwango, zinataa kabisa na zipo kila mtaa huku Dar.View attachment 2510331View attachment 2510332View attachment 2510333
Eneo la reli hilo na isitoshe treni inapita juu na hapo hakuna mazingira ya kufanya paving, ingekuwa kuna muingiliano na watu pangefanyiwa pavement kama hapa [emoji116] [emoji116] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fanya pavement hapa kwanza ndio uje na povu
View attachment 2510335