Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo umekubali hakuna popote uswazini Dar iko na barabara kama hiyo ya Kibera?!😂😂

By street roads sijui unamaanisha nini but if you meant access roads then zipo nyingi sana View attachment 2510286View attachment 2510287View attachment 2510288
images - 2023-02-08T125212.098.jpeg
 
Kumbe inapitisha gari elfu kumi buana 🤣🤣🤣 ama kweli maneno ya mkenya 100 chukua moja sepanalo mengine mbwagie mwenyewe 🤣🤣.. kwahyo ni sawa na barabara ya magomeni kanisani-Sinza kijiweni via Tandale .? 🤣🤣🤣
Tena hizo registered 10k ni kwa miezi saba ujue 🤣🤣🤣🤣 usisahau
 
Kwan kwenye simu yako huna option ya kuzoom ukajua kwann google earth sio wajinga kuona dar hakuna slum🤣🤣🤣 yani mpaka leo hii bado unalia na slums in dar serious ?? Nimekusaidia kuzoom eneo moja ulilopost linaitwa mabibo yani mzungu awe mjinga kuliko mkenya kaaaaah
Screenshot_20230208-222925.png
Screenshot_20230208-222937.png
 
Kibera Nyumba za tope na Mabati ya lowest price Vs Nyumba za Block na Mabati Middle class
 
Kibera Nyumba za tope na Mabati ya lowest price Vs Nyumba za Block na Mabati Middle class
So those are your middle-class areas? 😂😂😂😂😂😂😂
Enyewe we are not on the same level. Hii battle haina maana hata kidogo 😃
 
So those are your middle-class areas? 😂😂😂😂😂😂😂
Enyewe we are not on the same level. Hii battle haina maana hata kidogo 😃
Kama hzo ni za middle tuoneshe za maskini kabisa sasa 🤣🤣🤣🤣 ukipata unitag alaf uniulize nikuoneshe za middle uzuri ni kwamba hakuna nyumba ya tope au ya mabati utasema mazizi ya nguruwe
 
So those are your middle-class areas? 😂😂😂😂😂😂😂
Enyewe we are not on the same level. Hii battle haina maana hata kidogo 😃
Toka nilipokuonesha tandale siku hzi sisikii hata ukiitaja 🤣🤣 taratibu utaelewa tu
 
Kama hzo ni za middle tuoneshe za maskini kabisa sasa 🤣🤣🤣🤣 ukipata unitag alaf uniulize nikuoneshe za middle uzuri ni kwamba hakuna nyumba ya tope au ya mabati utasema mazizi ya nguruwe
Apo nimejaribu kuelezea ubora wa Mabati yaliyotumika kuezeka
 
Sasa dar hakuna nyumba ya mabati maskini wa mwisho anaishi kwenye nyumba ya block na sio ya tope au mabati 🤣🤣🤣 tofautisha mchele na unga
Hata Lucky Summer which is considered a slum in Nairobi nyumba ni za block, tena apartments. Sio hizo takataka zenu zilizotapakaa kila mahali in the most disorganized fashion bila hata barara
images - 2022-06-13T104537.919.jpeg
 
So those are your middle-class areas? 😂😂😂😂😂😂😂
Enyewe we are not on the same level. Hii battle haina maana hata kidogo 😃
Yani mzungu alieweka sattelite juu kwa billions of money hajaona slum in dar uone wewe mlinzi wa getini 🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20230208-223847.png
Screenshot_20230208-223902.png
 
Back
Top Bottom